Nimesikitika baada ya binti kufariki kwa kung'atwa na nyoka kwenye makalio

Kwasababu ni chai.ki uhalisia project yoyote ya porini huwa kuna first aid kit na ukiachana na dawa zingine ,dripu za maji na dawa ya kupungua/ kutibu sumu ya nyoka huwa ni kipaumbele.na kati yenu lazima kuwe na mafunxo hata ya siku tatu ya kukabiliana na hali hiyo.
 
Siku nyingine mtumie hata sarafu ya shilingi mia mbadala wa jiwe la nyoka au jiwe jeusi.

Chanja sehemu aliyong'atwa weka hiyo sarafu ifanye kazi wakati mnaangalie utaratibu mwingine
 
Project gani hata choo Cha dharura haina fund ,hujui ukizika pipa 2 au 1 chini linatosha kufanya choo Cha watu 10 hata kwa mwezi mmoja ?
 
Braza lisikuchanganye neno project..hata kuchimba mitaro mmaporini ni project
 
Tatzo mnawaza ki madawati dawati sana..kwakifup harakat yoyote ile hata local yenye bajet isizid hata 15k wabongo tunaita project..usiumize kichwa saaaana
 
Braza lisikuchanganye neno project..hata kuchimba mitaro mmaporini ni project
Ndiyo lakini any project must undergo risk analysis in all the steps of a project cycle(initiation,Formulation and Implementation, evaluation) sio kisa unachimba choo ndio hufanyi risk analysis huo ni ukasuku
 
Kiongozi wa hiyo project sasa hivi anatakiwa kuwa nyuma ya nondo kuhusiana na kifo hicho kwa uzembe!

Hauwezi peleka watu tena porini bila kufikiria dharula kama hizo na kuweka mazingira ya huduma zake za kwanza!

Unapekekaje watafiti porini bila kujiuliza dharula kama hizo zikitokea utafanyaje!
Ila na wewe mleta mada umeandika kama "chai"!

Issue kubwa namna hii inayohusianisha na kifo, utawekaje na stori za makalio ama shepu ya mdada?
 
Porojo tupu.
 
Hiyo ni project ya aina gani ambayo sio sophisticated enough kiasi cha kushindwa kujiandaa na Antivenoms ikiwemo Snake antivenom sababu mnaenda kufanya kazi porini.

Mngekua na antivenom angericover faster ni kitendo cha kupiga sindano tu.
Hii story ya mchongo
 
Habari hii ni ya kugushi, huyu ameitoa kwenye tukio la dada mwanajeshi wa anga nchini Naijeria aliyeumwa na nyoka na kufariki kwenye choo cha kukaa.

WIZI HAULIPI.
 
Kuna mawe yananyonya sumu ya nyoka
 
Mmmh hakuna binadamu awezaye kumnyea nyoka ..kwani nyoka huwa anadetect huwepo wa binadamu haraka mno hivyo either angemkimbia kitambo tu
 
Inaonekana hamkuwa na ushirikiano na wanakijiji/wenyeji. Mngewauliza wenyeji wa maeneo hayo lazima wangewasaidia alternative lakini kwa kuwa mlikuwa mnajifanya much know ndio maana umekimbilia JF huku.

Siku nyingine jitahidi kuhakikisha unawawini wenyeji acheni kujifanya mnajua sana eti kwa sababu umesoma mpaka form 10πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…