Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,654
- 8,564
Jiwe jeusi lipi hilo?Huduma ya kwanza ilikua kumchanja sehemu aliyoumwa na nyoka na kukamua ile damu pia kuweka jiwe jeusi kuvuta sumu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiwe jeusi lipi hilo?Huduma ya kwanza ilikua kumchanja sehemu aliyoumwa na nyoka na kukamua ile damu pia kuweka jiwe jeusi kuvuta sumu....
Malezi maleziKama ni kweli nyie na project yote ni maFala.
Huwezi ishi katika ya msitu bila kuwa na mtaalam wa nyoka
Wala kuwa na hayo mawe ya sumu ya nyoka.
Akili mlipata ya kubeba wanawake tu, mkija mnasema mna PhD oops
Hii ni kwel kabisa, na jamaa alimezwa na Chatu. Alipaki gari pemben mwa barabara na kwenda kujisaidia huku ikiwa haijazimwa. Baada ya muda kupita madereva wengne wa malori walisimama ili kujua jamaa anashida gani kuacha gari pemben mwa baranara ikiwa haijazimwa, hapo ndipo wakakuta kwenye chaka joka kubwa limelala hadi kukimbia linashindwaMwingine dereva wa loli la dangote naskia maeneo flan kilwa road alipak gari pemben akaingia polini.
Hakurudi tena mpaka watu wakashtuka mbona loli limepak muda mrefu hapo polini?
Inahuzunisha sana. Sitaki hata kukumbuka hii issue.Jamii furom unaweza kucheka pekee yako kama. Chizi vile yaani ukisoma kwa hisia hii habari unaweza ukachena na ukahuzunika
Mlitakiwa mumkate na kisu sehemu husika, bora awe kilema kuliko kupoteza maisha.Leo imekuwa siku ya majonzi sana. Nipo na wenzangu huku Porini Singida kwenye project moja hivi. Ni week sasa tupo huku na mademu kadhaa wakali ambao nao imebidi waje huku. Huku ni porini kweli kweli tunalala kwenye tents. Hakuna nyumba.
Sasa demu mmoja aliamua kwenda kujisaidia haja kubwa kwenye kakichaka flani hivi. Actually huwa tunamwambia asiende mbali sana. sasa yeye anajua tunamwambia asiende mbali sana ili tuweze mchungulia makalio yake makubwa. maana ni kweli akichuchumaa yanatawanyika kusini na kaskazini. lakini sisi tulikuwa tunamwambia kiroho safi asiende mbali kwa kuwa porini si salama sana na kule kuna vichaka zaidi si kuzuri.
Sasa leo kaenda kunya kumbe anachuchumaa hivi kumbe pale chini kuna nyoka kajisaidia juu yake na nyoka kamgonga kwenye tako. yule dada alipiga kelele akikimbia kuja kwetu watu wakabaki hawajui afanyeje sasa. wanamwangalia jinsi ambavyo anajitahidi kukimbia akipandisha chupi na makalio yake yapo nje, akafika na kuanguka tulipo akilalamika kuwa kaumwa na kitu anahisi ni nyoka.
Jamaa mmoja akamwangalia, akaona kweli kuna alama ambazo alituambia ni meno ya nyoka. Sasa issue ikawa huduma ya kwanza tunampa ni ipi? maana hatuwezi mfunga kamba. ameumwa kwenye tako. Je, tumfunge kamba sehemu gani? hapo watu wanajiuliza huku wengine wakikodoa macho kutizama yule dada alivyoumbika.
Baada ya dk akdhaa hali yake iakwa inabadilika kama anakifafa. hapo tunawaza kumpeleka kijijini ambako ni kama Km 90 za rough road. yule dada ameondoka duniani hivi hivi tunamwona, yaani imeniumiza sana wadau. nikawa nawaza sasa kama ndo hivi huduma ya kwanza mtu akiumwa na nyoka makalioni au kichwani inakuaje? je unaweza mfunga mtu kamba shingoni ukakaza damu isipite kushuka chini moyoni?
Au kama kaumwa kwenye matako unafunga kamba kiunoni damu isipande juu kwenda moyoni?