Nimesikitika baada ya binti kufariki kwa kung'atwa na nyoka kwenye makalio

Ujumbe Umefika! Ila mjumbe naona masikitiko yako makubwa mtoto kaondoka na utamu wake Eti...
 
Nimewahi sikia scenario kama mbili za namna hii. Moja dada mmoja alienda kichimba dawa polini wakati wanasafiri tanga-dar.

Mwingine dereva wa loli la dangote naskia maeneo flan kilwa road alipak gari pemben akaingia polini.

Hakurudi tena mpaka watu wakashtuka mbona loli limepak muda mrefu hapo polini?

Kuja kufuatilia wakamkuta tayari kaondoka.
 
Kama ni kweli, basi poleni. Lakini habari yako ina elements nyingi sana za udanganyifu (uwongo). Inaonyesha kama una nia ya kuamsha mihemuko ya watu wanaoshabikia mitazamo flani.

Umeingia kwa gia ya masikitiko, ili watu waje kwa sura ya huzuni, lakini wakati huohuo ujumbe na nia yako vinawafikia. Kuna haja gani kusema ana makalio makubwa, alienda kunya, anakiambia huku anapandisha chupi?

None sense! Halafu kwa jinsi Hilo tukio lilivyotokea, kwa huyo dada kuwa juu ya nyoka, ni vigumu nyoka kumgonga makalioni, nyoka hawezi kugonga vertically.
 
Mnaendaje porini bila kuwa na tahadhari
 
Kikawaida mlitakiwa muwe na mwenyeji mmoja wa eneo hilo. Mambo kama hayo ndio huwa na umuhimu nayo na tahadhari kadhaa, kama wote mlikuwa wageni tu ni tatizo.
 
Kikawaida mlitakiwa muwe na mwenyeji mmoja wa eneo hilo. Mambo kama hayo ndio huwa na umuhimu nayo na tahadhari kadhaa, kama wote mlikuwa wageni tu ni tatizo.
upo sahihi na umeongea ki utu uzima sana. watu kama ninyi mlipungua sana humu JF sijui kwa nini? wamebaki tu vijana wa hovyo....
 
Nyinyi wote hapo ni watoto wa mama
Wengi tu siku hatufatilii tiba asili. Tumesoma tukaona dawa za hospital ndio zinatibu na ni za kistaarabu, tumeona dawa asili zimepitwa na wakati na uchawi. Kizazi hiki kimepotoka Sana.

Miaka nakua watu wazima walikuwa wanasafiri kwa miguu siku tatu mpaka wiki wakilala vichakani. Wanabeba vijiwe vya kunyonya sumu za nyoka. Kisha anafunga na mizizi kadhaa ya kutafuna. Ikitokea amegongwa na nyoka basi anachanja kidonda, anaweka jiwe kwenye kidonda anafungia na kitambaa. Anatafuna mzizi polepole sumu inanyonywa yote. Leo wazazi wameachia kila kitu kuhusu malezi kwa Mwalimu.
Komeo Lachuma poleni kwa kumpoteza mwenzenu Ila rudini mkajifunze njia za asili za kunyonya sumu za nyoka kwa vi-jiwe. Na msiwe mnakurupuka kupack vi-skintight kwenda porini bila kujiuliza "what if".
 
Mnafanyaje research kwenye mapori bila kuwa na first aid binafsi kama ni kweli ninyi ni wazembe japo naona kama story yako imekaa kikahawa zaidi
 
Hii ungeanza hapo kale.
 
Kama ni kweli nyie na project yote ni maFala.

Huwezi ishi katika ya msitu bila kuwa na mtaalam wa nyoka

Wala kuwa na hayo mawe ya sumu ya nyoka.

Akili mlipata ya kubeba wanawake tu, mkija mnasema mna PhD oops
 
Kama ni kweli nyie na project yote ni maFala.

Huwezi ishi katika ya msitu bila kuwa na mtaalam wa nyoka

Wala kuwa na hayo mawe ya sumu ya nyoka.

Akili mlipata ya kubeba wanawake tu, mkija mnasema mna PhD oops
mbona kama una hasira?.... unatokwa na povu kila sehemu yako ya wazi ya mwili kwa nini? kila jambo lina mwanzo wake. unadhani kila wanaonda msituni huwa wana wataalamu wa nyoka? usikaririshwe vitu. hii ni ajali kama ajali nyingine. unless otherwise mtu uambiwe mapema kuwa unaenda sehemu ambayo imejawa nyoka. ninyi elimu mlidhani ni kukariri tu ABC? umeambiwa wataalam basi unabebelea tu ukisikia mtu kapata ajali ya moto utasema mlipaswa muende na mtaalamu wa moto. huko shuleni mlienda kukua tu kuongeza manyonyo? hopeless kabisa....maza fanta.
 
povu limenitoka I'm a loser wewe si boya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…