Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,920
- 4,216
Tukio limetokea leo asubuhi Dodoma, tumesimamishwa na Polisi magari yote yakae pembeni nikadhani ni kiongozi mkubwa anapita kumbe ni Mzee Stephen Wasira
Nusu saa tu? Ht masaa manne ungekaa, hicho ni chama tawala wewe. Sikitikia mambo mengine ikiwepo umaskini wako huo.Tukio limetokea leo asubuhi Dodoma, tumesimamishwa na Polisi magari yote yakae pembeni nikadhani ni kiongozi mkubwa anapita kumbe ni Mzee Stephen Wasira
Maaskari siku hizi wana mali, hakuna askari hana usafiri na nyumba tena ktk umri mdogo tu. We pambana na umaskini wako tuHiki ndicho askari wanapenda, kisha mchana wanapewa wali nyama na jioni elfu 20 ya posh wanarudi kulala kwenye mapagale ya mabati pale KIKUYU
Unajuaje ni masikini we mal'uunMaaskari siku hizi wana mali, hakuna askari hana usafiri na nyumba tena ktk umri mdogo tu. We pambana na umaskini wako tu
We jamaa upo Feed Force kurutaMaaskari siku hizi wana mali, hakuna askari hana usafiri na nyumba tena ktk umri mdogo tu. We pambana na umaskini wako tu
Hivi mpk wasira watu wanasimamishwa? Ujinga ni mwingi sana tz!Tukio limetokea leo asubuhi Dodoma, tumesimamishwa na Polisi magari yote yakae pembeni nikadhani ni kiongozi mkubwa anapita kumbe ni Mzee Stephen Wasira
ukadhani kiongozi mkubwa anapita...!? nakuelewa lakini!😅 unajua kuna baadhi ya watu pia wanaona hata Rais sio kiongozi wao MKUBWA😎?Tukio limetokea leo asubuhi Dodoma, tumesimamishwa na Polisi magari yote yakae pembeni nikadhani ni kiongozi mkubwa anapita kumbe ni Mzee Stephen Wasira
Nimesikitika huku nacheka.Hiki ndicho askari wanapenda, kisha mchana wanapewa wali nyama na jioni elfu 20 ya posh wanarudi kulala kwenye mapagale ya mabati pale KIKUYU
hakuna askari hana usafiri na nyumba
Mbunge mtarajiwa wa Bunda huyoTukio limetokea leo asubuhi Dodoma, tumesimamishwa na Polisi magari yote yakae pembeni nikadhani ni kiongozi mkubwa anapita kumbe ni Mzee Stephen Wasira
Kiumbe anayestahili kuwa kule hifsdhi ya Gombe leo analeta usumbufu makao makuu ya nchi, hii ni ajabu kabisa.Tukio limetokea leo asubuhi Dodoma, tumesimamishwa na Polisi magari yote yakae pembeni nikadhani ni kiongozi mkubwa anapita kumbe ni Mzee Stephen Wasira
nyara ya serikali hioTukio limetokea leo asubuhi Dodoma, tumesimamishwa na Polisi magari yote yakae pembeni nikadhani ni kiongozi mkubwa anapita kumbe ni Mzee Stephen Wasira