NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Matumaini yangu ya Yanga kuchukua ubingwa yameshuka mpaka asilimia ishirini (20).
Kiufupi wachezaji wamecheza chini ya kiwango hata MORALI usoni mwao ilikua ndogo kabisa.
Ukitazama goli la pili ni goli la kizembe sijapata kuona, wachezaji walijiachia utadhani wanacheza na dodoma jijj au singida bigstars kule uwanja wa liti studium.
Wamesahau kabisa hii ni fainali na Kama waarabu wangekua wapo Moto(wangeamua kufunguka) basi yanga alikua anakula goli hata nne (4) kavu.
Diara ndiyo man of the match, tutizame dakika tisini (90) zingine tuone Kama yanga ana uwezo wa kufunga goli mbili (2) bila.