Nimesikitika sana kuona Mwarabu ana "score both halves" Tena kwenye uwanja wa Nyumbani (mkapa stadium)

Nimesikitika sana kuona Mwarabu ana "score both halves" Tena kwenye uwanja wa Nyumbani (mkapa stadium)

Pole sana mkuu.

Leo NDIO NIMEAMINI SIMBA ni timu kubwa.
Alahaly
Orando.
KAIZER.
WHYDAD

Hawa ni giant wote WAMEKAA kwa Mkapa.

Kipimo chenu msimu huu ilikuwa MICHEZO miwili.
Simba. 2-0
Usm 2-1

YANGA Bado sana
Kila siku tangu haya mashindano nawaaambia yanga inakutana na timu dhaifu hawaamini Leo wanachezwa na uwanja umeloa kama as if us Alger ndio wenyeji wa uwanja kama wao walivyo wachezea Al monastri.
 
Pole sana mkuu.

Leo NDIO NIMEAMINI SIMBA ni timu kubwa.
Alahaly
Orando.
KAIZER.
WHYDAD

Hawa ni giant wote WAMEKAA kwa Mkapa.

Kipimo chenu msimu huu ilikuwa MICHEZO miwili.
Simba. 2-0
Usm 2-1

YANGA Bado sana
Shenzi type ongeza Namungo hapo [emoji41]
 
Usichokijuwa leo tulicheza na timu mbili, ila kule Algeria Yanga itacheza na timu moja tu.

Yanga ina kawaida ya kuwaduwaza watu pale wasipotegemea tena ugenini.

Unajuwa siri kwa nini Yanga ikitulia ugenini huwa inapata Matokeo mazuri?

Angalia kesho kama utaona hata tone la mvua, wameshamaliza tukose wote.
Haya ni mashairi ya kumfariji mgonjwa tu.
😀 😀
 
7409EBCB-EC41-4F21-8EBF-51B73AA9A5F4.jpeg
 
Watu wanye jicho la mpila tuliongea mapema sana kuwa Yanga inaweza kuwa na kikosi kizuri lakini hakuondoi ukweli kuwa Yanga mpaka anafika fainal ilikuwa ni bahati kwa sababu ya aina ya timu walizo kuwa wanakutana nazo tukaambiwa tuna wivu.

Hivi Rivers inatofauti gani na Vaipas iliyo pingwa nje ndani na Simba?

Hivi Marumo inatofauti gani na Horoya aliye pingwa bao 7 na simba?
 
Kwa hiyo mkuu Yanga imekwisha [emoji41]
 
Usichokijuwa leo tulicheza na timu mbili, ila kule Algeria Yanga itacheza na timu moja tu.

Yanga ina kawaida ya kuwaduwaza watu pale wasipotegemea tena ugenini.

Unajuwa siri kwa nini Yanga ikitulia ugenini huwa inapata Matokeo mazuri?

Angalia kesho kama utaona hata tone la mvua, wameshamaliza tukose wote.
Wale jamaa kule watakupiga nyingi tu

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Kama goli la ugenn halihesabiki yanga wanaweza pindua meza ila kama linahesabika ni ngumu.
Uwezo wa timu zote mbili tumeuona Leo ,yanga anaweza kufunga magoli uarabun lakin sio Kwa 2-0 game ijayo Bado naona Kuna GG maana uwezo ni kama unakaribiana Kwa timu zote mbili .
Yanga akishinda 2-1 km goli la ugenn linahesabika ni out kama halihesabiki ni extra time had matuta ,Zaid afunge 3-1 Moja ,swali je warabu watakubali hicho kitu tena uwanja wa nyumban ?
Mpira una maajab japo Kwa hili nauona ugumu Kwa yanga.
 
Nataka kujua goli la ugenini linahesabika au fainal halipo?
Wajuz mje na maoni
 
Back
Top Bottom