NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Aucho, Aucho, Aucho.Matumaini yangu ya Yanga kuchukua ubingwa yameshuka mpaka asilimia ishirini (20).
Kiufupi wachezaji wamecheza chini ya kiwango hata MORALI usoni mwao ilikua ndogo kabisa.
Ukitazama goli la pili ni goli la kizembe sijapata kuona, wachezaji walijiachia utadhani wanacheza na dodoma jijj au singida bigstars kule uwanja wa liti studium.
Wamesahau kabisa hii ni fainali na Kama waarabu wangekua wapo Moto(wangeamua kufunguka) basi yanga alikua anakula goli hata nne (4) kavu.
Diara ndiyo man of the match, tutizame dakika tisini (90) zingine tuone Kama yanga ana uwezo wa kufunga goli mbili (2) bila.
Mwenzio analia wewe unampa moyo?Mnunulie andazi agonge na togwa.Hahahahaaaaaaaa!Ila NALIA NGWENA huwa ni msema kweli
Kiongozi kuwa bora kwenye football haimaanishi una Win kila mechi mkuu mistakes zipo. Yanga imefika nusu fainali na fainali kwa mara ya kwanza hayo pia ni mafanikio relaxMatumaini yangu ya Yanga kuchukua ubingwa yameshuka mpaka asilimia ishirini (20).
Kiufupi wachezaji wamecheza chini ya kiwango hata MORALI usoni mwao ilikua ndogo kabisa.
Ukitazama goli la pili ni goli la kizembe sijapata kuona, wachezaji walijiachia utadhani wanacheza na dodoma jijj au singida bigstars kule uwanja wa liti studium.
Wamesahau kabisa hii ni fainali na Kama waarabu wangekua wapo Moto(wangeamua kufunguka) basi yanga alikua anakula goli hata nne (4) kavu.
Diara ndiyo man of the match, tutizame dakika tisini (90) zingine tuone Kama yanga ana uwezo wa kufunga goli mbili (2) bila.
Kwa mpira niliouona kwa Hawa jamaa Tena walikua wanafunguka kwa akili lakini wametupiga mbiliKilichosalia ni muujiza tu. Kwa hesabu za mpira ni vigumu Yanga kuchukua kombe.
1/Ashinde 2-1 Ugenini iwe draw.
2/Au ashinde kwa tofauti ya Goli mbili.
Mkuu angalia na mpira uliochezwa ndiyo utagundua Yanga kutoboa ni ngumu sana Bora hata tungeomba hata sale tungejipa matumainiKiongozi kuwa bora kwenye football haimaanishi una Win kila mechi mkuu mistakes zipo. Yanga imefika nusu fainali na fainali kwa mara ya kwanza hayo pia ni mafanikio relax
Usichokijuwa leo tulicheza na timu mbili, ila kule Algeria Yanga itacheza na timu moja tu.Matumaini yangu ya Yanga kuchukua ubingwa yameshuka mpaka asilimia ishirini (20).
Kiufupi wachezaji wamecheza chini ya kiwango hata MORALI usoni mwao ilikua ndogo kabisa.
Ukitazama goli la pili ni goli la kizembe sijapata kuona, wachezaji walijiachia utadhani wanacheza na dodoma jijj au singida bigstars kule uwanja wa liti studium.
Wamesahau kabisa hii ni fainali na Kama waarabu wangekua wapo Moto(wangeamua kufunguka) basi yanga alikua anakula goli hata nne (4) kavu.
Diara ndiyo man of the match, tutizame dakika tisini (90) zingine tuone Kama yanga ana uwezo wa kufunga goli mbili (2) bila.
Ngoja tuone itakuwajeBongo hapo wachawi wengi, makolo wanairoga sana Yanga. Kombe tunaenda kubebea hukohuko kwa mwarabu.
Haya bhana.Usichokijuwa leo tulicheza na timu mbili, ila kule Algeria Yanga itacheza na timu moja tu.
Yanga ina kawaida ya kuwaduwaza watu pale wasipotegemea tena ugenini.
Unajuwa siri kwa nini Yanga ikitulia ugenini huwa inapata Matokeo mazuri?
Angalia kesho kama utaona hata tone la mvua, wameshamaliza tukose wote.
Tulia weweAkili zitakusogea tu.Kila muda ulianzisha nyuzi badala usubiri mkue.Utopolo huwa hamna umeme vichwani.
Hayo mambo yalikuwa zamani, hamtoamini mtakachokiona.Hiyo ni trela tu shughuli ipo Kule mnakula 5
Raja alikaa?Pole sana mkuu.
Leo NDIO NIMEAMINI SIMBA ni timu kubwa.
Alahaly
Orando.
KAIZER.
WHYDAD
Hawa ni giant wote WAMEKAA kwa Mkapa.
Kipimo chenu msimu huu ilikuwa MICHEZO miwili.
Simba. 2-0
Usm 2-1
YANGA Bado sana