Labda hao jamaa wasimame au wacheze wakiwa wamefunga macho ndo mtoboe.Hayo mambo yalikuwa zamani, hamtoamini mtakachokiona.
Toka kuwa Mbumbumbu hadi Nabii uchwara [emoji38]Pole sana mkuu.
Leo NDIO NIMEAMINI SIMBA ni timu kubwa.
Alahaly
Orando.
KAIZER.
WHYDAD
Hawa ni giant wote WAMEKAA kwa Mkapa.
Kipimo chenu msimu huu ilikuwa MICHEZO miwili.
Simba. 2-0
Usm 2-1
YANGA Bado sana
Kila siku tangu haya mashindano nawaaambia yanga inakutana na timu dhaifu hawaamini Leo wanachezwa na uwanja umeloa kama as if us Alger ndio wenyeji wa uwanja kama wao walivyo wachezea Al monastri.Pole sana mkuu.
Leo NDIO NIMEAMINI SIMBA ni timu kubwa.
Alahaly
Orando.
KAIZER.
WHYDAD
Hawa ni giant wote WAMEKAA kwa Mkapa.
Kipimo chenu msimu huu ilikuwa MICHEZO miwili.
Simba. 2-0
Usm 2-1
YANGA Bado sana
Mbona Azam na Namungo haipooo. Play fairPole sana mkuu.
Leo NDIO NIMEAMINI SIMBA ni timu kubwa.
Alahaly
Orando.
KAIZER.
WHYDAD
Hawa ni giant wote WAMEKAA kwa Mkapa.
Kipimo chenu msimu huu ilikuwa MICHEZO miwili.
Simba. 2-0
Usm 2-1
YANGA Bado sana
Shenzi type ongeza Namungo hapo [emoji41]Pole sana mkuu.
Leo NDIO NIMEAMINI SIMBA ni timu kubwa.
Alahaly
Orando.
KAIZER.
WHYDAD
Hawa ni giant wote WAMEKAA kwa Mkapa.
Kipimo chenu msimu huu ilikuwa MICHEZO miwili.
Simba. 2-0
Usm 2-1
YANGA Bado sana
Haya ni mashairi ya kumfariji mgonjwa tu.Usichokijuwa leo tulicheza na timu mbili, ila kule Algeria Yanga itacheza na timu moja tu.
Yanga ina kawaida ya kuwaduwaza watu pale wasipotegemea tena ugenini.
Unajuwa siri kwa nini Yanga ikitulia ugenini huwa inapata Matokeo mazuri?
Angalia kesho kama utaona hata tone la mvua, wameshamaliza tukose wote.
Yanga wameroga mvua inyeshe wakaanza kuteleza wao kweli mungu hatoki jangwani.
Dah ni ngumu sana aiseKutoboa ni ngumu sana aisee.
Kumpiga 2 kavu kule kwao sio jambo dogo na sidhani kama Yanga ataweza.
Kwa hiyo mkuu Yanga imekwisha [emoji41]Watu wanye jicho la mpila tuliongea mapema sana kuwa Yanga inaweza kuwa na kikosi kizuri lakini hakuondoi ukweli kuwa Yanga mpaka anafika fainal ilikuwa ni bahati kwa sababu ya aina ya timu walizo kuwa wanakutana nazo tukaambiwa tuna wivu.
Hivi Rivers inatofauti gani na Vaipas iliyo pingwa nje ndani na Simba?
Hivi Marumo inatofauti gani na Horoya aliye pingwa bao 7 na simba?
Wale jamaa kule watakupiga nyingi tuUsichokijuwa leo tulicheza na timu mbili, ila kule Algeria Yanga itacheza na timu moja tu.
Yanga ina kawaida ya kuwaduwaza watu pale wasipotegemea tena ugenini.
Unajuwa siri kwa nini Yanga ikitulia ugenini huwa inapata Matokeo mazuri?
Angalia kesho kama utaona hata tone la mvua, wameshamaliza tukose wote.
Kwa hesabu za kimpila bado, lakini kitaalam kwa ule ukuta wa wale jamaa yanga kufunga mabao mawili kule Algelia inahitaji maajabu.Kwa hiyo mkuu Yanga imekwisha [emoji41]
Hata Wydad Casablanca tuliamini anakwenda kumpiga nyingi Simba, lakini mambo yamebadirika haiko hivyo.