Nimesikitika sana kuona Mwarabu ana "score both halves" Tena kwenye uwanja wa Nyumbani (mkapa stadium)

Malumo kamfunga huyu USM alger
Malumo kamtoa Pyramids
Unaifananisha na Horoya
Hata mpira wao ni mbingu na ardhi
Mbona unafananisha timu ya klabu bingwa na ligi ya waliofeli ?
 
"MWARABU KATIA KICHWA" wasafi wana caption za kisenge sana [emoji23][emoji23]
 
Tafiti-yanga haijawahi kufanya vizuri kwenye mazingira ya uwanja wenye maji. Geita gold, simba,na usma ila tutegemee fainali nzuri sana kule Algeria na wanayanga niwatoe hofu tutashinda Mungu yu pamoja nasi
 
Tutayajadili kipindi cha pili kitakapoisha huko Algeria na kutoa mshindi
kuna mengi ya kujifunza.
 
Swali gani hilo eti waarabu watakubali, mpira unachezwa uwanjani na yanga haendi kinyonge mwarabu atakimbizwa hadi aseme poo na kombe linachukuliwa Algeria
 
The boys gave everything, but quality decided the results!

Utopolo hawana uwezo wa kutosha kuwasumbua USM Alger.
 
Mkuu wa PhD na wewe unaamini haya mambo? Kwamba mvua ililetwa na uchawi na ndiyo maana mkafungwa?

Kaazi kweli kweli.
 
Swali gani hilo eti waarabu watakubali, mpira unachezwa uwanjani na yanga haendi kinyonge mwarabu atakimbizwa hadi aseme poo na kombe linachukuliwa Algeria
Ngoja tuone itakavyokua
 
Yani mwarabu yupo kwake, kombe analiona pale jukwaani, halafu amuachie utopolo aondoke nalo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Labdaa waarabu wa Kariakoooo, ila sio wale wa West Africa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha imani potofu. Mbona mechi yenu na Monastir pale kwa Mkapa mlishinda ilhali na mvua ilikuwa inanyesha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…