Azimio la kazi
Senior Member
- Jun 7, 2023
- 138
- 452
Dokta anakupiga sindano ya matako alafu anaiacha inanin'ginia anaenda kupokea simRoho yangu inauma Sana, Yani sisi watanzania hatupendani kwa kiasi hiki kweli??
Leo nimekwenda hospital ya mkoani (public hospital), moja ya jambo ya ajabu ni kuona wagojwa foleni kubwa dokta kwenye room hiyo akafika sa nne asubuh badala afike aanze kazi, akapituliza KUNYWA chai, chai yenyewe kanywa hadi saa sita mchana,huku Hali ya wagojwa Zina zidi Kuwa Mbaya, saa sita kaiigia kasilikiza wagojwa wa wili tu, Kisha akatoka kwenda lunch hadi muda huu tuna msubl.
Ewaa, nasikia na majina yanawekwa kwenye Makoti yao siku hizi...Taja jina la hospital sio jina la mtu/dr
Ila isijekuwa alikuwa amekesha na ndo aloko tuu hapo
bado lawama zote kwa john?
Kama mazingira ya kazi ni magumu apishe,wengine wanayatamani hata hayo mazingira magumu lakini hawapati nafasi.Kunywa panadol kupoza maumivu,, hawana utu tena hao mishahara yao haizingatiwi wala kuboresha na mazingira yao ya kazi magumu.
Umewahi kufanya kazi ya kuajiriwa??Kama mazingira ya kazi ni magumu apishe,wengine wanayatamani hata hayo mazingira magumu lakini hawapati nafasi.
Anaropoka tu hao wengine wakija ndio wanakuwa wabaya zaidi kuliko wazamani. Ndio wanakuwa wezi na kujikeep busy kwenye mambo yao kwa kuwa wanajiona walichelewa sana kuingia kwenye mfumo.Umewahi kufanya kazi ya kuajiriwa??
Umbeya mumbeya mkubwa weweRoho yangu inauma Sana. Yaani sisi watanzania hatupendani kwa kiasi hiki kweli?
Leo nimekwenda hospitali ya mkoani (public hospital), moja ya jambo ya ajabu ni kuona wagojwa foleni kubwa dokta kwenye room hiyo akafika saa nne asubuhi, badala afike aanze kazi akapituliza kunywa chai.
Chai yenyewe kanywa hadi saa sita mchana huku hali za wagojwa zinazidi kuwa mbaya, saa sita kaiigia kasilikiza wagojwa wawili tu kisha akatoka kwenda lunch hadi muda huu tunamsubiri.
Serikalini ukiacha viongozi wa kuteuliwa na wa kisiasa wengine wanalinda pension na ugali wao tu hakuna kabisa ufanisi. Sababu kubwa ni mishahara midogo na maazingira magumu.Watu muhimu si mmeona ni wabunge na wakurugenzi tu mkawapa mishahara ya million 10+ na mandinga ya million 200, sasa mkae kwa kutulia mpaka kieleweke nani ni muhimu nchi hii. Nasubiri comeback ya walimu