Nimesikitika sana kwa hiki nilichoona hospitalini

Nimesikitika sana kwa hiki nilichoona hospitalini

Kwani wabunge wanaokunja milioni 12 kila mwezi wao wanapigaje kazi
 
Shida tunajenga majengo bila kuajiri wataalamu sahihi hospitali zote bila kuwa na mtu wa kumonita utendaji kazi wa wafanyakazi kwenye Ilo eneo ni kazi bure apo docta anakuwa ndyo boss ila pakiwa na watendaji kazi kwenye zahanati au hospitali walio juu ya docta ili kuangalia na kusimamia kazi zao haya yatapungua sana au kuisha kabisa
 
Juzi kati nilikuwa na jambo langu BAKITA, mkongwe mmoja pale akaweka wazi kabisa kuwa anaanza kunywa chai kwanza ndipo ahudumie wateja maana hajanywa chai asubuhi. !! [emoji44]
Hili swala la chai alilisema CAG aliyetolewa kimabavu na JPM kuwa wafanyakzi wa serikali ni wazembe sana na jeuri na hawafati maadili ya kazi ila watu walimchamba na kuona kama anatafuta teuzi
 
Kunywa panadol kupoza maumivu,, hawana utu tena hao mishahara yao haizingatiwi wala kuboresha na mazingira yao ya kazi magumu.
Kwahiyo wanacholipwa na mazingira yao ya kazi kwa vyovyote yalivyo ni sahihi kuhudumia wagonjwa 4 kwa siku?
 
Juzi kati nilikuwa na jambo langu BAKITA, mkongwe mmoja pale akaweka wazi kabisa kuwa anaanza kunywa chai kwanza ndipo ahudumie wateja maana hajanywa chai asubuhi. !! [emoji44]
Wewe sio mteja, wewe ni raia kwenye nchi yako.

Haya mambo ya raia kujiona wateja kwenye mali za umma ni tatizo.
 
Roho yangu inauma Sana. Yaani sisi watanzania hatupendani kwa kiasi hiki kweli?

Leo nimekwenda hospitali ya mkoani (public hospital), moja ya jambo ya ajabu ni kuona wagojwa foleni kubwa dokta kwenye room hiyo akafika saa nne asubuhi, badala afike aanze kazi akapitiliza kunywa chai.

Chai yenyewe kanywa hadi saa sita mchana huku hali za wagojwa zinazidi kuwa mbaya, saa sita kaingia kasilikiza wagojwa wawili tu kisha akatoka kwenda lunch hadi muda huu tunamsubiri.
Taja hiyo hospitali na mahali ilipo. Vinginevyo itakuwa majungu, umbea na kukaririshwa.
 
Wewe sio mteja, wewe ni raia kwenye nchi yako.

Haya mambo ya raia kujiona wateja kwenye mali za umma ni tatizo.
Punguza jazba Mkuu, mtu yeyote anayehitaji huduma ni mteja.
 
Inasikitisha sana mpaka leo hii huduma za public hospital ziko hivyo ngumu kuamini lakini ndo ukweli, yaani hii dunia tulipofikia kama huna ela/kitu haustahili chochote hata kuyaishi maisha yenyewe
 
Niliwahi kukutana na hili,mtoto keshatapika sana mpaka nguvu zimeisha,nimekaa foleni imebaki mtu mmoja niingie yule aliekuwa ndani sijui ni jamaa yake wakongea karibu nusu saa,alipotoka niakingia nadhani aliniona nimekasirika anasema unajua wanaume nyie ni waoga sana kwa kuugua,nilipomueleza shida ya mtoto ananiambia nenda kule hospitali anakotibiwa hapa kuanza tena itachukua muda mrefu,ilibidi nitoke fast nichukue taxi umbali karibu km 15 ndio nafika hosptali husika na mtoto akapatiwa matibabu lakini yuko hoi...
 
Kila siku humu nawashauri suluhisho ni kujiua commit suicide ndo njia pekee ya kuepukana na hizi kero na kadhia.

Watu hawajui tu kifo kilivyo kitamu. You rest forever utakachomiss tu ni kupigamiti.
Unavuta ganja!
 
Back
Top Bottom