Nimesikitika sana kwa hiki nilichoona hospitalini

Kama unataka kuisaidia nchi Yako toa hizo codes!
 
Tuongezewe mishahara haitoshi
 
Nasisitiza ogopa sana hospitali za public unaweza kufa huku unajiona
Narudia tena ogopa sana hio kitu
 
Mlitakiwa kumshushia kipigo.
 
Hospital za umma hasa hizi za wilaya na mkoa tunaenda kufuata huduma ambazo kwa private hospitals hazipo eneo hilo mfano chanjo kama Hepatitis B, Yellow fever,HPV kwa mabinti.

Kipimo cha hepatitis B majibu ni dakika 5 tu hivi max ila itakuchukua saa nzima au zaidi labda uwake ndiyo uyapate.
 
Watu kama hao ilipaswa uwaweke hadharani taja ni hospital gani chunguza hadi jina la doctor ungekua umesaidia wengi
 
Kuna mtu anaupiga mwingi
 
Ni kwa nini unaificha hiyo hospitali???
 
Na bado ana pombe kichwani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shida namba moja ya mwanadamu ni kuugua na kuuguza hakika Mungu mwingi we rehema sis tulio na afya njema yatupasa kushukuru pia wakumbuke na wengine nao waimarike
 
Huu mfumo tumeuchagua wenyewe... yapaswa tutulie... tusilalamike...
 
Wewe unadhani nchi zenye uwajibikaji na maendeleo yalikuja yenyewe? Au ni hao viongozi wao waliamua kuwapenda wananchi wao tu? Mambo ya uwajibikaji kwenye nchi yoyote yanaletwa na wananchi wenyewe kwa kujua haki zao kwa kuisimamia serikali kikamilifu. Nchi yetu raia wake wamekaa kama nyumbu wa Manyara, muda wote wanashabikia mpira na mambo ya kijinga uwajibikaji utatoka wapi? Wacha raia wapate mateso pengine akili zao zitafunguka.
 
Unafaidika nini kuficha jina la hospitali?
 
Sikiliza wewe, achaga kutuletea habari za ubabahifu humu sawa.
Acha kutengeneza taarifa za uongo
Una kila kitu fake, id mpaka maandishi fake
Lkn unashindwa kutaja hivyo vituo si uongo huu
 
Kama hujaweza kutaja jina la hospitali na la huyo daktari, hata hapa JF ambako hujulikani, na wewe ni sehemu ya tatizo.
 
Reactions: 30P
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…