Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,189
- 6,450
Hawa ambao nimewazungushia Duara three weeks ago tulikuwa wote Amsterdam. Before that tulikuwa London na Paris. Leo naambiwa kuna asilimia kubwa watakuwa wamefariki.
Ilikuwa niwepo katika hii tour basi tu ratiba ziliingiliana sababu jamaa walitaka angalau black man mmoja awepo. Shida tu nlikuwa na ratiba nyingine. Nasubiria tu Mwanasheria wangu apate uthibitisho niende kuhani misiba ya watu hao.