Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,189
- 6,450
Pole sana Tycoon.Hawa ambao nimewazungushia Duara three weeks ago tulikuwa wote Amsterdam. Before that tulikuwa London na Paris. Leo naambiwa kuna asilimia kubwa watakuwa wamefariki.
Ilikuwa niwepo katika hii tour basi tu ratiba ziliingiliana sababu jamaa walitaka angalau black man mmoja awepo. Shida tu nlikuwa na ratiba nyingine. Nasubiria tu Mwanasheria wangu apate uthibitisho niende kuhani misiba ya watu hao.
Nasafiri sana ndugu yangu. Ubusy mwingi.😄😄😁 DAAH KIDUKULILO ONCE AGAIN
HAKUNA KAMA WW HUMU JF WW NI KIBOKO KABSA TULIKUMISS SANA KUMBE ULIKUA NJE YA NCHI MKUU
Nashukuru. Nikija Dar nitawajulisha kama mtataka twende Zanzibar au Ngorongoro tukapate mapumziko kidogo.Pole sana Tycoon.
Karibu sana huku nchini bamlndari imeuzwa mkuu aijui una maoni gani kuhusu hilo jambo si tungekuuzia wewe tu mkuNasafiri sana ndugu yangu. Ubusy mwingi.
Thanks in advance!Nashukuru. Nikija Dar nitawajulisha kama mtataka twende Zanzibar au Ngorongoro tukapate mapumziko kidogo.
Sisi wawekezaji wa asili ya Kitanzania na ambao tumenyooka bila kona kona huwa hatuwezi pewa miradi kama hiyo.Karibu sana huku nchini bamlndari imeuzwa mkuu aijui una maoni gani kuhusu hilo jambo si tungekuuzia wewe tu mku
Tajiri wa kujifarijiAiseee.jamaa una fix hadi raha
Nashukuru mnaniombea sana.Bill lugano hogera sana hiyo ni neema iliyokulinda bili hivo tungekupoteza.
LodilofaBilie mwenyewe
View attachment 2666591