Boss Mimi na kamtaji kadogo hapa kama millioni mia sita na hamsini nishauri biashara ya kufanyaToka nimeingia JF sijawahi kutana na mtu akawa anataka nimpe connections za akina Bill Gate, Buffet, Elon Musk n.k huwa nashangaa sana vijana wa Kitanzania wanawaza nini?
Viongozi wanawaza nini? Ila connections za akina Rihanna, J. Lo watu wanataka sana. Dogo mmoja ananiambia nikiwa room na miss world 2024 nimchukue video nimtumie. Nikamuuliza itakusaidia nini?akawa anakenua tu meno.
Mimi kuwala hawa warembo wa Dunia ni normal tu kwangu halafu huo muda wa kuchukua video haupatikani kabisa tunakuwa busy nikiwakilisha Waafrika wenzangu.
Hakuna hata mmoja ambaye amewahi kuuliza Billionea Lugano nini chanzo cha Utajiri wenu na wako? Angalau kidogo kuna madada humu JF hao waliomba niweze kuzaa nao wapate watoto wenye akili kama mimi. Shida tu nilipokuwa nawapeleka kufanya interviews walikuwa wanafail kwa sababu mbalimbali ambazo naomba nisiziweke hapa.
Watanzania asilimia zaidi ya 90 wanakula milo 4 mpaka mitano kwa siku kutokana na umaskini. Lakini wala hawajali kabisa kujikwamua. Unamuuliza mtu pato lako kwa siku tsh ngapi? Anakuambia Tsh 50,000. Unajiuliza huyu anaishije? Maisha gani hayo? Ila anataka connections za madem. Mambo ya uchumi hawazi..
Nakutana na viongozi wakubwa tu wanaishia kuomba pesa za kampeni tu kwa sasa. Nashangaa sana. Kama Taifa mnakwenda wapi?
Nasikia yeye ndie aliye mpa ushauri Ellison, jinsi ya kuendesha oracle.Don kama Dpn.
Mshindwe wenyewe sasa.
Ushauri tu? Na mtaji pia. Mpaka sasa anamdai pesa ndefu sanaaa 😂😂😂Nasikia yeye ndie aliye mpa ushauri Ellison, jinsi ya kuendesha oracle.
nasikia dangote ali lia sana siku aliyo muona don, una ambiwa full kuongea ki igbo 😂😂Ushauri tu? Na mtaji pia. Mpaka sasa anamdai pesa ndefu sanaaa 😂😂😂
Tukisema ni yeye, atasema mbona hamkuniamini,tukisema si yeye,watu watatupiga mawe.Basi tuseme hatujui.Bill Lugano wewe ndiye yule ,au tumsubiri mwingine?
😂😂Umenifurahisha kuweka avatar ya huyo mwamba mpenda ukweli mkuu.
Kongole kwako, weka namba tajiri Lugano akuwekee hata dola 10k.
Eti milo mitano kwa sikuSawa mwanetu 😀 😃
VPN ya nini wewe jf tunaingia bure kwa kutumia operamin ni bando lako tu😂😂
Wanaingiaga na vpn kisiri siri kuenjoy sana
😂😂😂kumbe ndy maan walifungiaToka nimeingia JF sijawahi kutana na mtu akawa anataka nimpe connections za akina Bill Gate, Buffet, Elon Musk n.k huwa nashangaa sana vijana wa Kitanzania wanawaza nini?