KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Shemeji yangu amemuoa binamu yangu, na wanaishi mkoani. Kaja Dar kufuatilia issue zake kadha wa kadha.
Kwa bahati mbaya siku chache alipata ajali ya pikipiki, amevunjika mguu na Leo kaingizwa chumba cha upasuaji.
Vitu vyake vimekabidhiwa kwangu kwani matibabu yake nayasimamia Mimi, MKE wake ndio ameingia jioni hii ya Leo
Sasa mchana kwa bahati mbaya nikagundua kuwa simu haina 🔑 password.
Nilipoifungua nikakutana na apps kibao za mikopo.
Sikuingia popote, nikaizima na kuiweka kwenye draw ya kwenye gari.
Nineumia sana, hii mikopo ina riba kubwa sana, nahisi anakopa kule ili alipe huku. Nimesikitika sana.
Hili taifa miaka michache ijayo itakuwa na watu fukara sana na wenye msongo sana wa mawazo kutokana na mikopo.
Shamba la mkopo, kiwanja Cha mkopo, simu ya mkopo, gari ya mkopo, yaani Kila kitu kinakopeshwa kirahisi na ujanja mwingi kwenye kufichua riba halisi.