Nimesikitika sana, simu ya shemeji yangu imejaa Apps za mikopo

Nimesikitika sana, simu ya shemeji yangu imejaa Apps za mikopo

Boss Hapo hajakopa kwako unamfungulia uzi, imagine ungekuwa umemkopa.
 
Mikopo Yao sio hii ya kihuni ambayo unaambiwa unakopa 50k, wanakupa 33k halafu unaambiwa ulipie 65k
Mikopo hii unayoita ya kihuni ndio Start up kuelekea uko kwenye maisha ya credit cards ya wenzetu...hii mikopo ya kihuni ndio itashinikiza serikali zilete hyo mifumo ya kuish Kwa mikopo..

Tizama wauza simu ,,bodaboda,,nk taratibu wanaingia uko kwenye mfumo..

Maisha ya mikopo haikwepeki hadi Dunia inaisha..stay tuned!!!!
 
Ndio maana siku hizi wenye nguvu za kiume za kutosha tupo wachache sana.
Stress za mikopo kimoja tu chali hadi baada ya wiki ndio hamu inarudi.
 
Walianza Branch, wakafata Tala, Mkopo Wako, Pesa Max, Credit Copa, One Pesa n.k.

Lakini ukweli ni kwamba wanaendesha shughuli zao kibatili maana hawana leseni na hawajui wanamkopesha nani.

Kiufupi hata ukishindwa kuwalipa hawana pa kukupeleka.
 
Kuitwa mwanaume siyo jambo jepesi kwamba utaning’iniza kende na kuongea kwa kukoroma mbele za watu useme huo ndiyo uanaume,vitu vya kushangaza na kusikitisha kama hivi ndiyo humfanya mtu aonekane mwanaume.

Leo (sijawahi kutegemea kuona) nimetumiwa msg I think na hawa jamaa wa mikopo ya mitandaoni kuna jamaa yangu namjua wakimuita tapeli kisa Tsh 68,000/= alizowakopa,ni vitu vya ajabu lakini vipo.
 
Kuna watu ni sugu haswa wa madeni na wala hawanaga pressure kabsa na pia hawakatai deni ila kulpa kwao huwa ni mtiti!
 
Kuitwa mwanaume siyo jambo jepesi kwamba utaning’iniza kende na kuongea kwa kukoroma mbele za watu useme huo ndiyo uanaume,vitu vya kushangaza na kusikitisha kama hivi ndiyo humfanya mtu aonekane mwanaume.

Leo (sijawahi kutegemea kuona) nimetumiwa msg I think na hawa jamaa wa mikopo ya mitandaoni kuna jamaa yangu namjua wakimuita tapeli kisa Tsh 68,000/= alizowakopa,ni vitu vya ajabu lakini vipo.
Atakuwa alikuweka kama mdhamini wake.
 
Hz mada za ndugu kupekua simu za ndugu zao zimeshamiri ..

Mtajajutaaaa
 
Mtoto wa kiume unaanzaje kupekua Simu ya MTU? Ulitaka ugundue nini?
 
wazee wa mandinga bhana[emoji16][emoji16],,, kwahio simu yangu ukafungua.
sasa nilivyo kukopa lle 10k, ukaninyima ulitegemea ntapata wapi??

Binamu yako ajawahi kulala njaa unajua hili.

Sent from my BAC-L21 using JamiiForums mobile app
 
Binafsi naona issue ya kujadili hapa sio mikopo ya huyo mwamba(shemeji yako), maana mikopo ni trend mpya kwa sasa, inazoeleka..tunakopa kupeleka watoto shule na mambo mengine mengi .

Issue hapa ni hiyo simu, usije ukampa unampa dada yako.
 
Yaani unaitwa tapel nabii Pdidy
WANACCESS NAMBA ZOTE SIMUYAKOOO

Ole upitilize sikuya kulipaSIMU WATU WOTEE WANAmbIWA WE TAPELI UNATAKA KUWAIBIA MTANDAON WAKUSHAURI UKALIPE DHA


NILIPOKEA MSG ZAO KAMA NNE DADA ZANGU WAMEPITA NA lAKI 5 MWINGINE 4 NAAMBIWA NDUGU MDHAMINI WA KARIBU WA BI XXXXX N TAPELI WA MTANDAON

NAWASHAURI MKIKOPA .msIWEKE NAMBA ZA MAANA KWENYE HII SIMU SIKUYASIKU HADI BB MJOMBA WA SONGEA ANAAMBIWA WE TAPELI
 
Yaani unaitwa tapel nabii Pdidy
Soma vizuri n dadayangu mmoja moshi amewakopa so wana access ya namba zote zake kwenys simu
So ukipitiliza wanarusha msg ya utapeli namba zote ukikaa kimya wanatengeneza grp la whatsup unashangaa group la kusaidia kulipa mkopo wa yyyyy yaan nimecheka sana nawaogopaga
 
Back
Top Bottom