Nimesikitika sana, simu ya shemeji yangu imejaa Apps za mikopo

NI GAWAIDA MKUHUUU MAIJA YA JAJA YAMEGUWA MAGUHUMU ZANA
 
Hapana hukunielewa Mimi niliweka utani tu
 
Mikopo ya mtandaoni ni kujiongezea ufukara tu ni bank tu ndio inayotoa mikopo yenye tija
Huko benki unaposema Kuna tija watu wengi wameuziwa nyumba zao na kifilisiwa sabb ya mikopo ya hzo benki...

Faida au hasara ya mkopo inatokana na mhusika amefanyia nn huo mkopo, na sio amekopa wap!!
 
Huko benki unaposema Kuna tija watu wengi wameuziwa nyumba zao na kifilisiwa sabb ya mikopo ya hzo benki...

Faida au hasara ya mkopo inatokana na mhusika amefanyia nn huo mkopo, na sio amekopa wap!!
Hata nchi zinafilisiwa ukikopa mikopo bank ukafanya matumizi ya anasa lazima ufilisiwe Asilimia 90 ya biashara hapo kariakoo zinaendeshwa na mikopo ya bank kwa mafanikio makubwa
 
Bora hujaingia kwenye msg,ukiona wanawake alokua nao utalia. Halafu chonde chonde,simu yake usije kumpa mkewe.
 
Bora hujaingia kwenye msg,ukiona wanawake alokua nao utalia. Halafu chonde chonde,simu yake usije kumpa mkewe.
Sitaki kuvunjwa ndoa za watu, Iko kwenye drawer ya gari yangu, ila Leo jioni nitampa mwenyewe maana Yuko wodini anaendelea vizuri baada ya upasuaji kwenda barahbarah kabisa
 
Lakini kwanini ulifungua simu ya shemeji yako. Je ungekutana na picha zisizo za staha za dada yako ?
 
Lakini kwanini ulifungua simu ya shemeji yako. Je ungekutana na picha zisizo za staha za dada yako ?
Ningefikaje kwenye galary? Nadhani hujasoma content, ume comment kwa kusoma tu Kichwa cha habari
 
Ipo siku utakutana na mrunda ndo utajua kuheshimu faragha za watu simu ya shemeji we unaipekuwa ya nini ???
 
Hivi ndio hawa?
 
Attachments

  • Screenshot_20240617_062329_Messages.jpg
    132.8 KB · Views: 10
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…