Nimesikitishwa, huzunishwa na kufadhaishwa na uongo wa Kamati ya PAC! Escrow sio fedha za umma!


Kwani Ruge wamemtoa?
 
Kwani Ruge wamemtoa?
Watamwachiaje wakati hakubali kuwa malipo ya ESCROW waliolipwa ni ya udanganyifu na wnatakiwa kuzirudisa ZOTE? NASHANGAA SINGADINGA AMETOZWA SIJUI BILIN 27 TU ZINGINE ZIKO WAPI? SI ALICHUKUA MGAWO A BILION ZAIDI YA 200? ZIKO WAPI NYINGINE? HIVYO SERKALI IMEKUBIALI NI ZAKE. NAONA KAMA BIL 29 NI VAT AU NI KITU GANI? NANI ANAELEWA?
 

Fedha za Escrow zina mikono mingi sana , wale walifungwa awamu ya 5 coz inaonekana JIWE alikosa mgao kipindi kile.
 
Kwani Ruge wamemtoa?
Next mention ya kesi, inafutwa rasmi na Ruge anaachiwa, kwasababu baada ya Kalasinga kukiri, Mzee JR has no case to answer, ila labda ni kama serikali kukwepa kushitakiwa kudaiwa fidia, wanaweza kumhukumu Ruge kwa kukutwa na hatia ya kushirikiana na Singasinga, na kuhukukiwa kifungo cha kukaa hadi mahakama imalize kikao chake cha leo, ili tuu kumzuia asiishitaki serikali mahakamani kudai fidia for wrongful detention.
P
 
Karibu kwenye mfufulizo wa makala hizi

P
 
kumbe sheria ni mchezo mchafu, aisee sikuwa najua.
 
watu mnasahau mapema sana kuna umuhimu wa kuipandisha ripoti nzima ya PAC hapa, yeye ni mmoja wa wakurugenzi IPTL kwa hiyo anawajibika na makosa yaliyofanywa na bodi ya wakurugenzi wa IPTL ikiwamo wizi wa kodi unanganyifu na mengine mengi. Msimdanganye kuwa hana hatia kwa aliyoyakiri singasinga.
 

Ruge hawezi kuchomoka kirahisi lazima na yeye akiri kwa DPP la sivyo ataendelea kusota lupango au hiyo option ya pili kushirikia na genge la uhalifu(singa singa) ndiyo kesi itamuhusu.
 
Alilipwa na PAP kama nani sasa,mtoa huduma au Murugenzi mwana hisa,wakati wa kuhamisha hisa za kampuni hewa piperlink kwenda IPTL walidanganya kuhusu mtaji hivyo walikwepa kodi waliibia serikali na ndio maana singasinga kaambiwa alipe Bl 30 katika hili unamtoaje Ruge
 
Paskali, kwanini mpunga uliondolewa kimagumashi kwa baadhi kupitia kwenye banks kwenye masandarusi badala ya kuingia kwenye accounts halali za wahusika?

Hao beneficiaries wa fedha ESCROW, kwanini wagawe kwa maafisa muhimu kwenye public sector au waliokuwa mawaziri wa kisekta kama haikuwa "collusion".

Msingi wa biashara ni malipo. Mlipwaji anapoanza kugawa kwa mawaziri, AG inatia shaka kama iwapo yalikuwa malipo halali, huo "wema" wa kuanza kumpa kula mtu "chake", hiyo model mbona hatujawahi kuiona?
 
Mkwere hakuwa mzalendo kwa Tz hata chembe!
ndio maana ktk utawala wake deal za hovyo kabisa zilinawiri na kutamalaki.
Mfano hai ni hii Simba Trust (ndani ya PAP) ni ya akina nani ndio utachoka!
 
Baadhi ya watesi wake walioshughulikiwa ni Kama kina Jason Paramandio Mandingo cyo nenda kwa mifano kabisa [emoji13][emoji13]
 
Baada ya Mzee JR kuachiwa huru bila makosa yoyote, nayadurusu baadhi ya mabandiko yangu kuhusu kadhia hii, and I was 100% right.

Pia najua, itakuwa miongoni mwa masharti ya kuachiwa ni kutoishitaki serikali kudai fidia, lakini hata asiposhitaki, karma ya mateso yake, imeisha washughulikia baadhi ya watesi wake na waliobakia, karma yao inawasubiri.
Naendelea kusisitiza viongozi wetu tendeni haki.

Mzee JR, pole sana kwa mapito uliyopitia. Mungu ni mwema, shukuru kwa yote, karibu uraiani.

Paskali
 
Na Karma isichague, ifanye kazi na kwa wote. Wote waliotumia taaluma na nafasi zao, kutupotosha wakati wote.
Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.

Nimempenda sana Mbunge huyu anazungumza ukweli mtupu Serikali ya CCM ina majipu mengi sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…