Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matumizi ya "U" kwenye neno "bunge" yapo mbioni kubatilishwa!!Mimi nitakua wa mwisho kuliamini bunge hili.
Hata baada ya Mhe. Ngeleja kurejesha mgao wake wa escrow, kwa kuzilipa fedha hizo serikalini kuashiria amejiridhisha escrow ni fedha za umma, mimi bado nashikilia msimamo huu, kuwa fedha za escrow sio fedha za umma mpaka pale mahakama itakapota tamka otherwise.Wanabodi,
-Escrow Sio Fedha za Umma!.
Ndani pesa za account ya escrow zimechange forms mara tatu, au zime change hands mara tatu, kuna mtu anaitwa depositor, ambaye yeye ni Tanesco, fedha zilipokuwa mikononi mwa Tanesco, ndio zilikuwa fedha za umma, kitendo cha Tanesco kuzitoa ndani ya account ya Tanesco kuzi deposit kwenye escrow account, kumezichange form hizi fedha from kuwa pesa za umma, into pesa za depository, ambaye yeye ni custodian tuu wa fedha hizo hadi mgogoro utakapokwisha!, hivyo wakati fedha zikiwa kwenye safe custody ya custodian, escrow account chini ya BOT, fedha zile sii za umma wala sii za binafsi, some zingeweza kuwa za umma na kurudishwa Tanesco, some zingeweza kuwa za IPTL with a unique options ya possibility with "uncertainty" that "only some" "could" be fedha za umma, za Tanesco's, kutokana na overcharging, but with definite that some are IPTL's with possibility ya all the money ni za IPTL!. Ukijua ni nini kilichotokea kuhusu madai ya Tanesco na ni nini kilikubalika?!. Tanesco wali give in, na kukubali wanadaiwa more than kiwango kilichopo ndani ya escrow account, that na wakaweka schedule of repayment na ndipo Tanesco waka authorize pesa zote zilipwe kwa IPTL!, and that is when all the money zili change form kutoka kuwa fedha za wote na kugeuka fedha za binafsi, and during with drawer by the time fedha zinalipwa IPTL zilikuwa sio fedha za umma!.
Paskali
Ni msimamo mzuri paskali, maana mtu hupaswi kuwa kigeugeu kama ngadu.Hata baada ya Mhe. Ngeleja kurejesha mgao wake wa escrow, kwa kuzilipa fedha hizo serikalini kuashiria amejiridhisha escrow ni fedha za umma, mimi bado nashikilia msimamo huu, kuwa fedha za escrow sio fedha za umma mpaka pale mahakama itakapota tamka otherwise.
Paskali
Confidentially of the recipients inaweza kuwa lifted kwa kutumia ombi kutoka FIU ya BOT only kama kuna mashaka kuwa fedha hizo ni dirty money na zimelipwa ili kuzi laundry. Au kama kuna mashaka fedha hizo zitatumika kufadhili ugaidi. Lakini fedha za JR ni fedha safi halali, zimetokana na biashara halali, kazigawa kihalali kwa watu aliowachagua.
Stanbic kamwe haiwezi kufanya ujinga kama wa Mkombozi Bank, recipients wote wa fedha za JR hawana makosa yoyote, wao wamepewa tuu kama sadaka.
Paskali
Ngeleja hajafika huko mbali unakokutazama, unaweza kuwa unamatatizo ya kuona mbali!Mkuu Paskali hivi kweli kwa akili yako Unaamini kwamba serikali hii ya JPM haina list ya watu waliobeba sandarusi za noti kutoka Stanbic? Really??? You must be kidding bro! Mkuu kama mabenki makubwa ya akina Credit Suisse yaliambiwa yatoe list ya wamarekani wanaoficha hela uswisi bila kulipa kodi...na secrecy law ya Uswis ilivyo kali....unakumbuka Credit Suisse alisemaje na alifanya nini?? All I can say: What the government wants. The government gets. Simple.
Ninachokwambia ni kwamba mchezo mzima unafahamika. JPM anawavutia kasi. Hizi hela za IPTL ni moja ya michezo michafu inayodhihirisha jinsi matapeli wa kimataifa wanavyo fleece vinchi masikini kwa kushirikiana na elites/watawala! We can all argue the way we want. we can hire PR gurus like you and others to sugar coat things. Unfortunately JPM will NEVER take any of these bull****t. Sema JK aliogopa kufungua Pandora's box. But he knows!
Ngeleja yeye kaamua heri nusu shari kuliko shari kamili!
Mkuu Jogi, kuna vitu viwili tofauti hapa.Ni msimamo mzuri paskali, maana mtu hupaswi kuwa kigeugeu kama ngadu.
Lakini ukiona kina jaji Mujulizi wanaachia ngazi ujue train limepamba moto!
Mkuu hapa umeishavuliwa nguo. Unalotakiwa kufanya ni kuchuchumaa. Ningekuwa wewe huu uzi baada ya kufukuliwa nisingechangia tena.Hata baada ya Mhe. Ngeleja kurejesha mgao wake wa escrow, kwa kuzilipa fedha hizo serikalini kuashiria amejiridhisha escrow ni fedha za umma, mimi bado nashikilia msimamo huu, kuwa fedha za escrow sio fedha za umma mpaka pale mahakama itakapota tamka otherwise.
Paskali
Cnn wana mwandishi mahiri Christian Amanpour ambaye huandika habari za kiuchunguzi, ana sifa ya kuingia hata ngome za waasi na kufanya mahojiano nao!Mkuu Jogi, kuna vitu viwili tofauti hapa.
1. Viongozi wa umma kupokea zawadi
2. Jee fedha hizo ni fedha safi au za wizi?.
Viongozi wote wa umma wanasimamiwa na kanuni za maadili ya viongozi wa umma ukipokea zawadi yoyote inayozidi thamani fulani lazima una declare na kuisurender hiyo zawadi. Hivyo viongozi wote wa umma waliopokea mgao wa escrow kama zawadi walipaswa ku declare na ku surrender kama alivyofanya Ngeleja.
Kama fedha ni za michango, donation or ombi kwa ajili ya matumizi fulani, then walipaswa tuu ku declare kisha kuziwasilisha fedha hizo kwenye matumizi kusudiwa.
Hivyo hata kama fedha zile ni fedha halali za sadaka kutoka kanisani, ni kinyume cha maadili ya utumishi wa umma mtumishi kupokea zawadi na kukaa kimya hivyo kina Mujuluzi had to go!.
Issue ya hiyo migao ilikuwa ni ya nini, zawadi tuu, michango, asante, sadaka tuu etc, that is a separate issue, kama ni rushwa, then soon tutashuhudia vigogo wakipandishwa kizimbani.
Hoja yangu hapa ni fedha za Escrow zilizolipwa kwa JR ni fedha zake halali kwa mauzo ya hisa zake ndani ya IPTL. Hivyo wote waligaiwa wamegaiwa fedha safi, labda sababu ndio ziwe chafu, ila fedha sio za umma hata kama ni za wizi, ni fedha za IPTL zilizoibiwa na PAP.
Paskali
Mkuu Rushanju, kuwa na msimamo ni pamoja na kutetea kile unachoamini is right!, hata kama unachoamini is right but in reality it is wrong, utautetea ukweli unaouamini ni ukweli mpaka pale utakapothibitishwa beyond reasonable doubt kuwa ni uongo.Mkuu hapa umeishavuliwa nguo. Unalotakiwa kufanya ni kuchuchumaa. Ningekuwa wewe huu uzi baada ya kufukuliwa nisingechangia tena.
Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
Mkuu Dezoizo52, kwanza nakubaliana na wewe kuwa haiwezekani watu tena maofisa wa serikali wagawiwe fedha tuu hivi hivi bila sababu yoyote, hivyo kuwepo kwa uwezekano ni rushwa, tatizo langu mimi ni jinsi Watanzania tunavyoshupalia waliogawia fedha na JR tuu kwa sababu wametajwa na list ya Mkombozi, hivyo tunalalamika kwa vile tumewajua!, laiti tusingewajua wananchi tusinge lalamika, na serikali isinge fanya kitu!.Wanaotuumiza nchi hii ni wale waliosoma vizuri na kutuaminisha kuwa wao ni wachambuzi wazuri kumbe ni wasaka tonge.Pesa ya kuvujia jasho haiwezi kugawiwa watu wazito hovyohovyo km JR alikuwa mwema angegawa pesa kwa masikini wapo wengi hapa nchini.Kama una kesi halafu ukashinda ukazigawa pesa kwa majaji,ikulu,mawaziri wa zamani yaani mpaka hapa hauoni tumeibiwa...! ,huoni ilikuwa ni rushwa..!?.Jamani nchi hii wasomi mnatuumiza watanzania wenzenu kwa kutetea matumbo yenu makubwa ambayo hayashibi.
Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
Mkuu Jogi, mimi ni mwandishi wa kujitegemea kwa kujitolea, hakuna media itakayokubali to carry Investigative Story kutoka kwa freelance journalist!. Kwanza binadamu wote wanaofanya shughuli zao zenye risk kwa maisha yao wanapaswa kuwa na bima za maisha, sisi waandishi tukiwemo, but very unfortunately, not in Tanzania, Christian Amanpour, ana bima ana weza kupenetrate popote, kama Vicky Mtetema alipokuwa BBC akaibua sakata la mauaji ya Albino.Cnn wana mwandishi mahiri Christian Amanpour ambaye huandika habari za kiuchunguzi, ana sifa ya kuingia hata ngome za waasi na kufanya mahojiano nao!
Mkuu pascal mayalla unaonaje ukienda kibiti kututafutia mastory kutoka chimbo (sio kwa nia ya kuwa expose "washkaji")
Ni kwa jinsi unavyotiririka katika utetezi wa hoja yako kwa umahiri wa kiuchunguzi.
Ukatili wa utawala wa Mwinyi alipokuwa anauza Loliondo kwa waarabu ulitutenganisha na mpendwa wetu Stan Katabalo.Mkuu Jogi, mimi ni mwandishi wa kujitegemea kwa kujitolea, hakuna media itakayokubali to carry Investigative Story kutoka kwa freelance journalist!. Kwanza binadamu wote wanaofanya shughuli zao zenye risk kwa maisha yao wanapaswa kuwa na bima za maisha, sisi waandishi tukiwemo, but very unfortunately, not in Tanzania, Christian Amanpour, ana bima ana weza kupenetrate popote, kama Vicky Mtetema alipokuwa BBC akaibua sakata la mauaji ya Albino.
Naji anajua hatma ya familia ya Stan Katabalo, Daudi Mwangosi, Isango, etc?.
Paskali