Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kama hatujawekeza kwenye michezo tupeleke nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi yenye watu 55 million haiwezi hata kuwatuma wanaspoti 5? Duuh 😔
View attachment 1866147
Na kisha mkitazama hiyo picha, yule anayebeba hiyo bendera si mtz. Na ndiyo maana mimi hujiuliza, Mbona wenzetu ni kama huwa mnachanganyikiwa?
Angalau uganda
View attachment 1866149
Sishangai kwa sababu katika wakenya kumi...nane kama sio wote wanatamani wangekuwa na uwezo wakimbie nchi yao na wasirudi tena.Nchi ambayo Ina amani, hakuna rushwa, hakuna njaa hua inafaa iwe ndo inatambulika kimchezo manake shida muhimu za kimaisha mshatatua na kilichobaki ni kukuza talanta mbalimbali za kispoti...., Hii ndo maana hautaona akina iraq,Somalia,..etc wakitambulika kimchezo manake vijana wao hawana mda wa kujifurahisha na spoti (Yani Wana deal na life and death situations si mambo ya kupewa medali)
Sasa nyinyi hamna shida yoyote, Kisha mnashindwa kukuza wanaspoti, hamtambuliki kwa mchezo wowote duniani.. kazi kula viazi karanga na chatini.
Hii inadhihirisha Tz Kuna kasoro flani, Kuna hitilafu flani kwenye system yenu, haiwezekani watu 55million hakuna spoti hata moja ambayo mnaweza kutambulika nayo
Kama hamtaki kuhama , mbona mnaisaliti nchi nzima kwa kutoifanyia bidii kwa kuwa the best athletes in the world??? Uzalendo wenu uko wapi?Sishangai kwa sababu katika wakenya kumi...nane kama sio wote wanatamani wangekuwa na uwezo wakimbie nchi yao na wasirudi tena.
Maliza kwanza hiki.Tanzanians drag humanity behind because they are all stupid
Kukimbia ovyo ovyo ni michezo ya wenye njaa.Kama hamtaki kuhama , mbona mnaisaliti nchi nzima kwa kutoifanyia bidii kwa kuwa the best athletes in the world??? Uzalendo wenu uko wapi?
Alafu uache kujidanganya.... Watanzania wengi hawana raha ndani ya nchi
_________
Kenya has been ranked in position 121 out of 156 countries in the latest Global Happiness Report released on Friday.
Kenya's happiness index stands at 4.583 out of the possible 10, according to the United Nations' 8th World Happiness Report.
Kenya however ranked the happiest nation in East Africa ahead of Uganda (126), Burundi (140), Tanzania (148), Rwanda (150) and South Sudan (152).
For the third year in a row, Finland was named the happiest nation in the world with a score of 7.809. Denmark is second with an index of 7.646 followed by Switzerland (7.560), Iceland (7.504) and Norway (7.488).
Unawaelewa hawa wenzetu, wao huchezaga olympics za mdomo.Mimi hata sioni athletes wa TZ kwa hio picha. Ni kama hawakuenda
Siku ndizo hizo zapitaBado tupo msibani.....
Hawa wenzetu hushika goli kwa kila kitu.Poor Tanzania. You are always last in everything.
Nakubaliana na wewe hapo kidogo, lakini pia ukitazama historia ya nchi yako kwenye olympics, hamjakuwa mkifaulu.Mwaka huu ni controversial. Nchi nyingi zimejitoa. Zingine zimeshiriki kwa uchache sana. Mwaka huu michezo hii haijafana sana kama miaka yote.
Its a very simple explaination, socializim.Nakubaliana na wewe hapo kidogo, lakini pia ukitazama historia ya nchi yako kwenye olympics, hamjakuwa mkifaulu.
Na huwa sielewi mbona kwa sababu mnakuwaga na kila kitu at your disposal.
Nieleze ili nikuelewe kaka.
Nchi yenye watu 55 million haiwezi hata kuwatuma wanaspoti 5? Duuh 😔
View attachment 1866147
Na kisha mkitazama hiyo picha, yule anayebeba hiyo bendera si mtz. Na ndiyo maana mimi hujiuliza, Mbona wenzetu ni kama huwa mnachanganyikiwa?
Angalau uganda
View attachment 1866149
Nchi ambayo Ina amani, hakuna rushwa, hakuna njaa hua inafaa iwe ndo inatambulika kimchezo manake shida muhimu za kimaisha mshatatua na kilichobaki ni kukuza talanta mbalimbali za kispoti...., Hii ndo maana hautaona akina iraq,Somalia,..etc wakitambulika kimchezo manake vijana wao hawana mda wa kujifurahisha na spoti (Yani Wana deal na life and death situations si mambo ya kupewa medali)
Sasa nyinyi hamna shida yoyote, Kisha mnashindwa kukuza wanaspoti, hamtambuliki kwa mchezo wowote duniani.. kazi kula viazi karanga na chatini.
Hii inadhihirisha Tz Kuna kasoro flani, Kuna hitilafu flani kwenye system yenu, haiwezekani watu 55million hakuna spoti hata moja ambayo mnaweza kutambulika nayo
Ze zezetas has sports, Simba anda yanger football club.Nchi ambayo Ina amani, hakuna rushwa, hakuna njaa hua inafaa iwe ndo inatambulika kimchezo manake shida muhimu za kimaisha mshatatua na kilichobaki ni kukuza talanta mbalimbali za kispoti...., Hii ndo maana hautaona akina iraq,Somalia,..etc wakitambulika kimchezo manake vijana wao hawana mda wa kujifurahisha na spoti (Yani Wana deal na life and death situations si mambo ya kupewa medali)
Sasa nyinyi hamna shida yoyote, Kisha mnashindwa kukuza wanaspoti, hamtambuliki kwa mchezo wowote duniani.. kazi kula viazi karanga na chatini.
Hii inadhihirisha Tz Kuna kasoro flani, Kuna hitilafu flani kwenye system yenu, haiwezekani watu 55million hakuna spoti hata moja ambayo mnaweza kutambulika nayo
Ukweli Mchungu!Nchi ambayo Ina amani, hakuna rushwa, hakuna njaa hua inafaa iwe ndo inatambulika kimchezo manake shida muhimu za kimaisha mshatatua na kilichobaki ni kukuza talanta mbalimbali za kispoti...., Hii ndo maana hautaona akina iraq,Somalia,..etc wakitambulika kimchezo manake vijana wao hawana mda wa kujifurahisha na spoti (Yani Wana deal na life and death situations si mambo ya kupewa medali)
Sasa nyinyi hamna shida yoyote, Kisha mnashindwa kukuza wanaspoti, hamtambuliki kwa mchezo wowote duniani.. kazi kula viazi karanga na chatini.
Hii inadhihirisha Tz Kuna kasoro flani, Kuna hitilafu flani kwenye system yenu, haiwezekani watu 55million hakuna spoti hata moja ambayo mnaweza kutambulika nayo
CCM ndiye tatitizo( chama cha madudu)Nchi imeshalogwa na soka na simba na yanga hii unatarajia utampata nani ashiriki michezo ya Olympic?
1.Mtoto anazaliwa anaanza kulishwa imani za kisimba na yanga kama dini vile atajua kuna michezo mingine?
2.viwanja nchi nzima ni vua soka tuu hakuna tofauti ya tff na bmt
3.Hawa waswahili wa kariakoo na timu zao mbili wamefanikiwa kuua michezo iliyokuwepo zamani na hata timu nyingine za mikoa za soka zimekufa au wanazihujumu
4Nchi inatumia fedha na nguvu nyingi kwenye mchezo ambao kiuasili sio kipaji chetu. Tunazidiwa na mataifa madogo kama rwanda na burundi
5.wenzetu KENYA wamepeleka kila mchezo
6.Hatuwezi kujenga tsifa la soka peke yake