Nimesikitishwa sana! Nchi ya watu milioni 55 haiwezi kutuma wanaspoti 5?

Nimesikitishwa sana! Nchi ya watu milioni 55 haiwezi kutuma wanaspoti 5?

Ugueni pole majirani. Msife moyo, ipo siku tiba itapatikana, ya ile 'syndrome' yenu ya kuzaliwa na miguu miwili miwili ya kushoto. 😆😆😆
 
We are representing East Africa very well.

FB_IMG_16275375077507777.jpg
 
Kwamba Hayo hayapo Tz au?? Tumia Akili Basi mazee na siyo Mavi kufikiri
Unaacha kusikitishwa na ukabila unaowatafuna miaka na miaka.

Unaacha kusikitishwa na police brutality mnayofanyiwa miaka na miaka.

Unaacha kusikitishwa na corruption iliyokita mizizi.

Unaacha kusikitishwa na njaa inayowatafuna miaka na miaka.

Eti unasikitishwa na Tanzania kupeleka wanamichezo wachache [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwaka huu ni controversial. Nchi nyingi zimejitoa. Zingine zimeshiriki kwa uchache sana. Mwaka huu michezo hii haijafana sana kama miaka yote.
Kwa kujitetea hujambo 😂 😂
 
Back
Top Bottom