Nimesikitishwa sana! Nchi ya watu milioni 55 haiwezi kutuma wanaspoti 5?

Pesa ya kuwajengea nyumba za mabilioni wastaafu ambazo hawazihitaji kwani wote wana majumba yao na ni mabilionea ipo lakini ya kuitangaxa Tanzania duniani HAKUNA!!! Hata Burundi wamepeleka wanamichezo wengi kuliko Tanzania.
 
Sishangai kwa sababu katika wakenya kumi...nane kama sio wote wanatamani wangekuwa na uwezo wakimbie nchi yao na wasirudi tena.
 
Sishangai kwa sababu katika wakenya kumi...nane kama sio wote wanatamani wangekuwa na uwezo wakimbie nchi yao na wasirudi tena.
Kama hamtaki kuhama , mbona mnaisaliti nchi nzima kwa kutoifanyia bidii kwa kuwa the best athletes in the world??? Uzalendo wenu uko wapi?




Alafu uache kujidanganya.... Watanzania wengi hawana raha ndani ya nchi


_________

Kenya has been ranked in position 121 out of 156 countries in the latest Global Happiness Report released on Friday.

Kenya's happiness index stands at 4.583 out of the possible 10, according to the United Nations' 8th World Happiness Report.

Kenya however ranked the happiest nation in East Africa ahead of Uganda (126), Burundi (140), Tanzania (148), Rwanda (150) and South Sudan (152).

For the third year in a row, Finland was named the happiest nation in the world with a score of 7.809. Denmark is second with an index of 7.646 followed by Switzerland (7.560), Iceland (7.504) and Norway (7.488).
 
Kukimbia ovyo ovyo ni michezo ya wenye njaa.
 
Mimi hata sioni athletes wa TZ kwa hio picha. Ni kama hawakuenda
Unawaelewa hawa wenzetu, wao huchezaga olympics za mdomo.

Lakini ukweli usemwe, hii ni aiba kwa afrika mashariki.
 
Mwaka huu ni controversial. Nchi nyingi zimejitoa. Zingine zimeshiriki kwa uchache sana. Mwaka huu michezo hii haijafana sana kama miaka yote.
Nakubaliana na wewe hapo kidogo, lakini pia ukitazama historia ya nchi yako kwenye olympics, hamjakuwa mkifaulu.

Na huwa sielewi mbona kwa sababu mnakuwaga na kila kitu at your disposal.

Nieleze ili nikuelewe kaka.
 
Sie aliyeturoga kajifukia kichwa huku makalio yakiwa juu, kama mbuni vile kwahiyo hatumfahamu kwa sura, kila anayesogelea anaogopa laana.
 
Nakubaliana na wewe hapo kidogo, lakini pia ukitazama historia ya nchi yako kwenye olympics, hamjakuwa mkifaulu.

Na huwa sielewi mbona kwa sababu mnakuwaga na kila kitu at your disposal.

Nieleze ili nikuelewe kaka.
Its a very simple explaination, socializim.
Chadema are going to changed the narrative.It may take time but it will soon happen.
They should be supported 100%.
 
Kipaumbele cha CCM na Samia ni uchumi kwanza na kudhibiti wapinzani wa kisiasa. Michezo ni mpaka 2030 hivi... What a shame in this shameless country! Actually, tuko 60 mil.
 
Hauijui Tanzania wewe. Hatuna shida? Tuna shida nyingi sana. Kama ulikuwepo Oktoba 2020, uliona masanduku ya kura yamejaa kura zilizopigwa majumbani kwa CCM na kusindikizwa kwenye vituo vya kupigia kura kwa polisi wenye bunduki. Kama hiyo siyo shida ni nini?
 
Ze zezetas has sports, Simba anda yanger football club.
Thats enough for zhem.
Arabs and ze like are in motor sports including media.
Hence arabs control ze wallet and ccm( chama cha madudu)
 
Nchi imeshalogwa na soka na simba na yanga hii unatarajia utampata nani ashiriki michezo ya Olympic?

1.Mtoto anazaliwa anaanza kulishwa imani za kisimba na yanga kama dini vile atajua kuna michezo mingine?

2.viwanja nchi nzima ni vua soka tuu hakuna tofauti ya tff na bmt

3.Hawa waswahili wa kariakoo na timu zao mbili wamefanikiwa kuua michezo iliyokuwepo zamani na hata timu nyingine za mikoa za soka zimekufa au wanazihujumu

4Nchi inatumia fedha na nguvu nyingi kwenye mchezo ambao kiuasili sio kipaji chetu. Tunazidiwa na mataifa madogo kama rwanda na burundi

5.wenzetu KENYA wamepeleka kila mchezo

6.Hatuwezi kujenga tsifa la soka peke yake
 
Ukweli Mchungu!
 
CCM ndiye tatitizo( chama cha madudu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…