Nimesikitishwa sana! Nchi ya watu milioni 55 haiwezi kutuma wanaspoti 5?

Ugueni pole majirani. Msife moyo, ipo siku tiba itapatikana, ya ile 'syndrome' yenu ya kuzaliwa na miguu miwili miwili ya kushoto. πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
We are representing East Africa very well.

 
Kwamba Hayo hayapo Tz au?? Tumia Akili Basi mazee na siyo Mavi kufikiri
 
Mwaka huu ni controversial. Nchi nyingi zimejitoa. Zingine zimeshiriki kwa uchache sana. Mwaka huu michezo hii haijafana sana kama miaka yote.
Kwa kujitetea hujambo πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…