Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Kabisa kabisa tuchangie wagonjwa tu full stop hawa wengine wapambane na hali zaoNdio ndio
Mgonjwa ndio unatakiwa achangiwe..tena baada ya kujiridhisha kuwa kuna uwezekano wakupona au la
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa kabisa tuchangie wagonjwa tu full stop hawa wengine wapambane na hali zaoNdio ndio
Mgonjwa ndio unatakiwa achangiwe..tena baada ya kujiridhisha kuwa kuna uwezekano wakupona au la
Ongezea :-Hii nchi kila siku michango tu
Harusi
Send-off
Birthday za wadada
Yanga
Taifa stars
Daaaa huchomoki
Mara ya mwisho kwenda kanisani ilikua 2003...nakumbuka nilitoa michango 6 siku hiyo,yqn nilisimama mara sita kwenye seat kwenda kutoa hiyo michango inayoitwa sadakaOngezea :-
Kanisani, msikitini n.k
kwani zikiwepo ni za kwako?Kweli hatuko serious kama nchi
Dhahabu ipo
Tanzanite ipo
Gesi ipo
Kilimanjaro ipo
Almasi ipo
Ngorongoro ipo
Mikumi ipo
Bandari iPo....
Na Burundi nao wapo afcon wao wasemeje?
.Hii nchi kila siku michango tu
Harusi
Send-off
Birthday za wadada
Yanga
Taifa stars
Daaaa huchomoki
Hii nchi kila siku michango tu
Harusi
Send-off
Birthday za wadada
Yanga
Taifa stars
Daaaa huchomoki
😂😂😂.... hii kali..CAF inatoa hela,wamezipeleka kwenye Sitigilas goji?
mteke mtu halafu muombe tena hela !Si wamuombe MO wa Simba awasaidie, au wanaona aibu?