Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Muongo huyo Mimi pia nilikuwa msimamizi, kiufupi ulikuwa uchaguzi.Kuna kuku wa Lumumba watakuja kukubishia. Ngoja kukuche.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muongo huyo Mimi pia nilikuwa msimamizi, kiufupi ulikuwa uchaguzi.Kuna kuku wa Lumumba watakuja kukubishia. Ngoja kukuche.
Kwenye moyo wako unajua mlicho kifanya.Wadanganye Wajinga wenzie
Thibitisha hapa ulisimamia wapi huo uchaguzi na kituo kipi?Kimsingi binafsi nilisimamia uchaguzi, jioni msimamizi ngazi ya kata akanipigia simu akauliza nipe matokeo, nikampa, akauliza mbona yako hivi nikamwambia wewe ulitakaje? Akasema mbona matokeo yako hivi nikamuuliza ulitaka ya namna gani, akasema kwani kwenye semina hukuwepo nikamwambia nilikuepo na nilielewa.
Kwa kweli yale mafundisho yaliyokuwa yanatolewa kwenye semina na mashinikizo ya wakurugenzi! Nilifika hatua nikakereka mno.
Baadae msimamizi akaniuliza na mawakala umewapa nakala ya haya matokeo, nikamwambia kila mmoja amepata, akaniambia jaza fomu za matokeo upya nikamwambia hapa nasubiri malipo tu ukiona hayafai endelea, kimsingi niliondoka tulipokuwa. Kiufupi haukuwa uchaguzi.
Mwapisheni huyo mbwatukaji wenu Lissu Kama ndiye alliyeshinda.Historically Jiwe hajawahi kushinda uchaguzi wowote,
Najua unajua mlicho fanya! Wasimamizi nafsi zinawasuta!Story za kutunga hizi mimi nimesimamia uchaguzi na hakuna protocol za hvyo acha kupotosha watu
Hata mimi nlikua napinga kama wewe ila sio huyu tu niko na wengine hapa nao wanaongea stori kama hii!Acha unafikiiii Kata kina vituo vingiiii iweje wewe akupigie simu wewe kama wewe?, Porojo tu , matokeo yalikusanywa Tena walipeleka na maboksi Hadi Kata ,nakala walipewa mawakala na ushindi kwa ccm ulikua wa kishindo mawakala wanajua ndio maana huoni wakala akilalamika hata mmoja,
Acha unafikiiii Hakuna kura iliyoibiwa wala kwenye seminar hakufundishwa mtu kuiba kura kumbuka seminar kina watu said ya Mia tano ktk ukumbi watu wenye itikadi tofauti,usalama,makada wa chama tofauti, how comes,
Kuiba kura wala hakukuitaji kura feki sema nikuelekeze kura zinaibwaje sio unabwabwaja upuuzi hapa ujui chochote
Alieshinda kashinda hata nikiuliza umepokea sh ngap jumla hutojua
Namba ya mpiga kura ulikua inaandikwa ilaa inachanwa karatasi ya kura kinabak kinamba so hautajua ni Nani kampigia Nani huwezi juaKisheria namba ya mpiga kura haitakiwi kuandikwa popote ili kumlinda watawala wasimtambur.
bahati mbaya baadhi ya sehemu waliambiwa waziandike kama njia ya kuwatisha wafanyakazi
Kabisa wanadanganya ila kuupangilia uongo hawawezi, uchaguzi ulikua huru mno na haki .Hata mimi nlikua napinga kama wewe ila sio huyu tu niko na wengine hapa nao wanaongea stori kama hii!
Tena hawa nafsi zina wasuta bora huyu alikataa!
Maamuzi kama hayo huwa yanatolewa na watu smart sana.Kimsingi sikudhania watu kama wewe mpo Tanzania.Hasa ndani ya utawala uliopoKimsingi binafsi nilisimamia uchaguzi, jioni msimamizi ngazi ya kata akanipigia simu akauliza nipe matokeo, nikampa, akauliza mbona yako hivi nikamwambia wewe ulitakaje? Akasema mbona matokeo yako hivi nikamuuliza ulitaka ya namna gani, akasema kwani kwenye semina hukuwepo nikamwambia nilikuepo na nilielewa.
Kwa kweli yale mafundisho yaliyokuwa yanatolewa kwenye semina na mashinikizo ya wakurugenzi! Nilifika hatua nikakereka mno.
Baadae msimamizi akaniuliza na mawakala umewapa nakala ya haya matokeo, nikamwambia kila mmoja amepata, akaniambia jaza fomu za matokeo upya nikamwambia hapa nasubiri malipo tu ukiona hayafai endelea, kimsingi niliondoka tulipokuwa. Kiufupi haukuwa uchaguzi.
Uchaguzi huru na haki Jiwe hapati hata 20% ya kura zoteKabisa wanadanganya ila kuupangilia uongo hawawezi, uchaguzi ulikua huru mno na haki .