Uchaguzi 2020 Nimesimamia uchaguzi, nimetenda haki

Thibitisha hapa ulisimamia wapi huo uchaguzi na kituo kipi?
 
Acha unafikiiii Kata kina vituo vingiiii iweje wewe akupigie simu wewe kama wewe?, Porojo tu , matokeo yalikusanywa Tena walipeleka na maboksi Hadi Kata ,nakala walipewa mawakala na ushindi kwa ccm ulikua wa kishindo mawakala wanajua ndio maana huoni wakala akilalamika hata mmoja,
Acha unafikiiii Hakuna kura iliyoibiwa wala kwenye seminar hakufundishwa mtu kuiba kura kumbuka seminar kina watu said ya Mia tano ktk ukumbi watu wenye itikadi tofauti,usalama,makada wa chama tofauti, how comes,
Kuiba kura wala hakukuitaji kura feki sema nikuelekeze kura zinaibwaje sio unabwabwaja upuuzi hapa ujui chochote

Alieshinda kashinda hata nikiuliza umepokea sh ngap jumla hutojua
 
Hata mimi nlikua napinga kama wewe ila sio huyu tu niko na wengine hapa nao wanaongea stori kama hii!

Tena hawa nafsi zina wasuta bora huyu alikataa!
 
Kisheria namba ya mpiga kura haitakiwi kuandikwa popote ili kumlinda watawala wasimtambur.

bahati mbaya baadhi ya sehemu waliambiwa waziandike kama njia ya kuwatisha wafanyakazi
Namba ya mpiga kura ulikua inaandikwa ilaa inachanwa karatasi ya kura kinabak kinamba so hautajua ni Nani kampigia Nani huwezi jua
 
Hata mimi nlikua napinga kama wewe ila sio huyu tu niko na wengine hapa nao wanaongea stori kama hii!

Tena hawa nafsi zina wasuta bora huyu alikataa!
Kabisa wanadanganya ila kuupangilia uongo hawawezi, uchaguzi ulikua huru mno na haki .
 
Maamuzi kama hayo huwa yanatolewa na watu smart sana.Kimsingi sikudhania watu kama wewe mpo Tanzania.Hasa ndani ya utawala uliopo
 
Tusie mpenda kaja tunafanyeje tuishi nae ? Ni kumpenda kinafiki 5yrs hamna jinsi
 
Mtoa mada wew si ulikula kiapo huko kwenye mafunzo na ukaambiwa mambo ya kituon uyaache hukohuko sasa mbona unakuja kutoa huku.
 
Unatafuta umaarufu kwa kuongea uongo.

Wananchi 12M waliamua kwenye box la kura.

Uchaguzi umeisha sasa tuijenge NCHI.

URT - JPM
SMZ- Mwinyi

CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…