Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku wanalia waalim hakuna. Hapo hapo waalim 11 mmesimamishwa kazi. Hilo kosa kubwa hivyo ni lipi?
Hii nchi hatuji kuendelea katu.
haswaa hapa ndiyo pake, hizo fedha mnazochangia hichi chama kila mwezi nadhani pamoja na mambo mengine nikuwatetea waalimu wanapopatwa na matatizo kama hayo na siyo kuwanunulia t-shirt kila mei mosinenda ofisi za CWT omba sheria za utumishi na standard order yake, kila kitu kimeelezwa humo.
Huku Jukwaa la Sheia mko vipi!? Sisi kule kwenye Business Forum na Ujasiriamali ushauri ni bure tu na mambo yako hadharani sana. Saidianeni, in fact hiyo ndiyo inapaswa iwe spirit humu JF.kwa mwajiriwa wa serikali miongozo yenu kuhusu ajira ipo Kwenye STANDING ORDERS huko ndiko walikopitia mpaka wakakusimamisha kazi kifupi hata huo muda umeandikwa huko......nahitaji consultation fee ili niendelee