Nimesimamishwa kazi Serikalini, naomba msaada wa kisheria

Nimesimamishwa kazi Serikalini, naomba msaada wa kisheria

Huku wanalia waalim hakuna. Hapo hapo waalim 11 mmesimamishwa kazi. Hilo kosa kubwa hivyo ni lipi?
Hii nchi hatuji kuendelea katu.
 
Huku wanalia waalim hakuna. Hapo hapo waalim 11 mmesimamishwa kazi. Hilo kosa kubwa hivyo ni lipi?
Hii nchi hatuji kuendelea katu.

hao waalimu wanafundisha nini kuna halmashauri zina zidio la waalim ,maana huko mashuleni waalimu wa History na kiswahili wanagawana topic sio madarasa huku mwl wa science anafundisha shule nzima
 
Tunashukuru ndugu Aloysius kwa msaada mkubwa kwa ndugu Ngoswe
 
Mkuu Elli baba yangu alisubiri sana kulipwa malimbikizo mpaka mauti yamemkuta halafu kibaya zaidi walimfungulia kesi ya jinai kila akishinda wanakata rufaa hadi mauti yakamfika kesi ikiwa maakama kuu na kwa vile ni jinai baada tu a kifo kesi ikafutwa dhidi yake wamebaki wenzie sita .Na yeye alikuwa anajua atashinda halafu awadai mapesa kibao.Sasa kinachobaki hapo ni kazi kwa warithi wake yaani hata hamju imuanzike wapi kudai haki za marehemu na kibaya zaid mkiwa hamuelewani ndo matatizo zaidi
 
nenda ofisi za CWT omba sheria za utumishi na standard order yake, kila kitu kimeelezwa humo.
haswaa hapa ndiyo pake, hizo fedha mnazochangia hichi chama kila mwezi nadhani pamoja na mambo mengine nikuwatetea waalimu wanapopatwa na matatizo kama hayo na siyo kuwanunulia t-shirt kila mei mosi

 
kwa mwajiriwa wa serikali miongozo yenu kuhusu ajira ipo Kwenye STANDING ORDERS huko ndiko walikopitia mpaka wakakusimamisha kazi kifupi hata huo muda umeandikwa huko......nahitaji consultation fee ili niendelee
Huku Jukwaa la Sheia mko vipi!? Sisi kule kwenye Business Forum na Ujasiriamali ushauri ni bure tu na mambo yako hadharani sana. Saidianeni, in fact hiyo ndiyo inapaswa iwe spirit humu JF.
 
Back
Top Bottom