Chamhimu vipimo tu,, nimemwambia kama ni mimba asiitoe lakni leo nashangaa naambiwa alikuwa anipima tu,, mi sijamuelewa lengo lake niniIla elimu ni jambo la muhimu sana...
Hivi kweli kuna mtu anaamini kunywa Coke kunazuia ujauzito...!!!
Halafu mtu anadinyana bila condom wakati hata elimu ya uzazi hana, hajui kwamba mimba hiweza kutungwa hata nje ya siku za hatari kutegemeana na mabadiliko ya vichocheo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah inauma sana,, kwani ulipigwa shingapi mkuuhii dawa gharama bana,siku 1 nilalamikiwa nimepiga kavu siku za hatari,nikampa buku 5 ananunue. akaniambia haitoshi,ikabidi twende wote famasi. bei yake niliishiwa hamu kabisa. nikajuta kwa nini sikuvaa
Kweli mkuu nimejifunza tokana na kosa hili,, namimi sikuwa najua kama ipo hivyoBwege sana huyu (na mimi namuomba samahani) yaani inaonekana hana elimu ya uzazi, Coca inazuiaje mimba,...... hata kuoa usifikirie sasa hivi hebu tulia kwanza
Umeamua vyema kakaDuuuh ngoja nimfatilie tu, japo nisha nuumiza kwa maneno niliyo mwambia
Na mimi nataka nimrudishe kwenye mstari, maana nimembana sana kama siku mbili,, badae tena anageuka anasema hana mimbaHyo hali uliyokuw nayo mkuu ,ndo hali inayonisumbua Mimi , japo me nimeamua kutulia tu sijakataa mimba ila kama yangu tutajua baadae.
Asante mkuu barikiwaKwa msaada tu usirudie makosa kwa Mke au mume au wachumba....kama siku zinakupiga chenga I recomend ukadownload App za kutrack Ovulation cycle yako/mwenza wako zpo nyng na nzuri tu tena kama ni cku za danger zinakuamsha na Alarm kabsaa kwamba izi cku ni hatar.....
kwaio nenda Platstore ukatafte au link hii kisha utakua unaset cku unayoingia mwezini(kwa wanawake) pia kwa wanaume ni vzur uwe na App kama izi ili ujue cku hatarishi za mwenza wako
Link
Family Planner - Safe and Unsa - Apps on Google Play
Period and Ovulation Calendar, Safe and Unsafe day for sex, Family Plannerplay.google.com
NAWASILISHA
Daah manzi mwenyewe nsha mvuruga kiakiliKwa uzoefu wangu mdogo mkuu umepiga akiwa kwenye danger zone kama kweli mara ya mwisho aliingia tar 6 naww ukapiga tar 24. Maana safe zone inaisha around 10 days baada ya kuingia bleed say tar 16. Then danger zone inaanza immediately for around 10 days means inaenda mpaka around tar 26 ikiisha hiyo inakuja safe zone for around 10 days from around tar 27 mpaka mzunguko mwingine so kama ulipiga tar 24 hiyo imo ndan ya danger zone mzee kwahyo mzigo unakuhusu huo
Asante mkuu kwa ushauri wakoHivi unafaham kusoma calendar kweli? Wizi upo waoi kama mzunguko wake ni siku 28_30? Au unataka tu kukimbia majukumu.
Acha kumuumiza kihisia mtoto wa watu jilaumu wewe kwa kuacha kwenda kununua condom ukanunua Coca
Kwa mara ya kwanza niliamini,, lakn baada ya kukuaa na kufikiri mishale haikusomaIla uliamini sio?? Dah binadamu hatuishi vimbwanga
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Asante mkuu kwa ushauri wako.Kwa hiyo tarehe 24 ilikua siku ya danger,,hiyo tarehe 28 alikua safe.. Kuna uwezekano mkubwa ujauzito ni wako mana ovulation inaweza kuwahi siku mbil kabla au baada..usiikatae mimba, subiri mtoto azaliwe ndo utaujua ukweli