Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

Ntaendelea kumpeleleza ikishindikana basi,, lakini me hofu yangu labda kuna jamaa lilkuwa linamega, japo ameniaminisha kwa 100% kuwa mimba ni yangu.

Kwani shida yako nini, lea akijifungua pima DNA...
 
Kweli unaamini coca cola inazuia mimba au umeamua kujitoa ufahamu?
Wanawake mnaamini mpaka mbegu za mnyonyo na mimba zinakamata hamuelewekagi nyie unajikuta paap baba kijacho.
 
Back
Top Bottom