Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaiyo hakuwa na mimbaHatariiii!!
Lakini baadae alikuja kunambia kuwa alikuwa ananijaribu anionee!!!
Stress gani mkuu?Kuwa na msimamo Kijana! Mngejua kuchelewa kuzaa kunavyoleta stress huko mbeleni, I wish mngejua, I wish mngeelewa.
Akaizaliwa pima DNAHabari za Jumapili njema wapendwa, sifa zote apewe Mungu muumba mbingu na nchi. Amina.
Soma kwa makini kuna fundisho hapa
Jamani nimekuja humu ndani kupata suruhisho la masaibu yanayo nisumbua na kunipa stress zaidi katika wakati huu.
Hii changamoto naona inanilemea tofauti na kupata msaada wenu ntaishia pabaya.
Maada:
Me nimekuwepo na girl friend ambae tumezoeana takriban mwezi mmoja, tumezoeana siku hadi siku baadae mwafaka ukawa baadaye tuoane.
Amekuwa akija kunitembelea kama kawaida geto,, lakini tokana na nguvu ya shetani kutuvaa tulijikuta tumeanguka.
Ilikuwa tarehe 24 ya mwezi wa 4 usiku ndo tulishiriki ngono lakini pia katika kushiriki binti aliniambia nikanunue soda ya Coca Cola kwa ajili ya kutumia kama kinga.
Basi sikuwa na hiana nikafata baada ya kunikazia kuwa yupo kwenye siku za hatari yasije tokea mengine ya mimba.
Nilipoileta basi tukaendelea na mambo mengine baada ya kumaliza alimimina na kuanza kunywa taratibu,,nikamuuliza kazi yake, anadai anapokunywa zile shahawa zinatelemka zenyewe tu.
Basi na kweli zikawa zinatelemka anajifuta.
Baada ya siku hiyo kupita tukakutana tena tarehe 28 mwezi 4 huo huo mchana.
Baada ya kumaliza, siku hiyo akaanza kudai tumbo linamuuma,nikamwambia itakuwa hali tu ya tumbo,, siku ya pili hivyo hivyo basi ikafika tarehe 6 ya mwezi wa 5 akadai haoni siku zake na siku ya pili yake hakuaona ambayo ni tarehe 7,mpaka sasa anasema yupo dry.
Nikamsihi itakuwa mabadiliko ya hali ya hewa lakini ananambia hii itakuwa mimba,, wakati huo sipo nae maana yupo kwao alisafiri hiyo tarehe 6 tokana na changamoto alizokuwa akipata alipo kuwa anaishi.
Mimi nikamsisitiza kapime tuone tatizo nini(yupo kwao mda huu) anasema ntapima tu lakini itakuwa mimba.
Nimemtolea uvivu nikamtega maswali, alidai breed aliingia tarehe 6 mwezi wa nne akatoka tarehe 9 na mimi nilikutana nae tarehe 24 kwa kinga ya soda,tarehe 28 bila kinga,.
Nimefatilia kuhusu mzunguko maana me si kweli alikuwa kwenye hatari ya kupata mimba, na nimemhusisha imekuwa kesi,nikamwambia aniambie ukweli kama hakuwa na mahusiano huko nyuma kabla yangu lakini kakana.kalia sana eti hakutegemea kama ntamwambia mambo kama hayo.
Mara mimi najua hii mimba niyako hata ukikataa,, lakini mimi moyo wangu hauna amani kabisa juu ya swala hili,, nahisi kubambikiwa mzigo usiyo kuwa wangu.
Ilikuwa imebaki kidogo tu tuanze maisha ya ndoa maana wazazi taarifa wanazo kuwa runataka kuoana,,
lakini amani moyoni mwangu haipo nahisi harufu ya usaliti imepita.
Nisiwachoshe sana wakuu swali langu.
Kwa wataalamu wa mzunguko wa hedhi hasa wanawake mnisaidie je nikweli huu mzigo ni wangu?
Maana mimi nikiangalia siku zote tulizo shiriki siyo siku za kushika mimba kufatana na huo mzunguko wake.
Asije ikawa mimba alikuwa nayo halafu kaja kutegesha kwangu.
Nikomee hapo wakuu, msaada wenu ni mhimu sana.
Asanteni.
Hahahaha!!!
Wapi sasa hakuna cha mtoto wala nini,,,miyeyusho tu
Nlivoona hii calendar yake nilishangaa sana ckujua n hesab gan amezitumiaHii calendar yako sijaielewa kabisa!
Mzunguko ni wa siku 5/5 kwa average! 5 days za bleed, 5 days za probation, 5-7 days za danger zone!
Sasa kama mtu bleed kaanza tarehe 6-9 anzia kuhesabu siku 5 toka tarehe 9! Means tarehe 14 kaanza danger siku 7 mbele itakuwa tarehe 21 baada ya hapo mimba haishiki! Sasa huyu mtu kapataje mimba tarehe 24? Huu ni utapeli wa wazi kabisa!
Za kuleaStress gani mkuu?
MTOTO NI WAKOHabari za Jumapili njema wapendwa, sifa zote apewe Mungu muumba mbingu na nchi. Amina.
Soma kwa makini kuna fundisho hapa
Jamani nimekuja humu ndani kupata suruhisho la masaibu yanayo nisumbua na kunipa stress zaidi katika wakati huu.
Hii changamoto naona inanilemea tofauti na kupata msaada wenu ntaishia pabaya.
Maada:
Me nimekuwepo na girl friend ambae tumezoeana takriban mwezi mmoja, tumezoeana siku hadi siku baadae mwafaka ukawa baadaye tuoane.
Amekuwa akija kunitembelea kama kawaida geto,, lakini tokana na nguvu ya shetani kutuvaa tulijikuta tumeanguka.
Ilikuwa tarehe 24 ya mwezi wa 4 usiku ndo tulishiriki ngono lakini pia katika kushiriki binti aliniambia nikanunue soda ya Coca Cola kwa ajili ya kutumia kama kinga.
Basi sikuwa na hiana nikafata baada ya kunikazia kuwa yupo kwenye siku za hatari yasije tokea mengine ya mimba.
Nilipoileta basi tukaendelea na mambo mengine baada ya kumaliza alimimina na kuanza kunywa taratibu,,nikamuuliza kazi yake, anadai anapokunywa zile shahawa zinatelemka zenyewe tu.
Basi na kweli zikawa zinatelemka anajifuta.
Baada ya siku hiyo kupita tukakutana tena tarehe 28 mwezi 4 huo huo mchana.
Baada ya kumaliza, siku hiyo akaanza kudai tumbo linamuuma,nikamwambia itakuwa hali tu ya tumbo,, siku ya pili hivyo hivyo basi ikafika tarehe 6 ya mwezi wa 5 akadai haoni siku zake na siku ya pili yake hakuaona ambayo ni tarehe 7,mpaka sasa anasema yupo dry.
Nikamsihi itakuwa mabadiliko ya hali ya hewa lakini ananambia hii itakuwa mimba,, wakati huo sipo nae maana yupo kwao alisafiri hiyo tarehe 6 tokana na changamoto alizokuwa akipata alipo kuwa anaishi.
Mimi nikamsisitiza kapime tuone tatizo nini(yupo kwao mda huu) anasema ntapima tu lakini itakuwa mimba.
Nimemtolea uvivu nikamtega maswali, alidai breed aliingia tarehe 6 mwezi wa nne akatoka tarehe 9 na mimi nilikutana nae tarehe 24 kwa kinga ya soda,tarehe 28 bila kinga,.
Nimefatilia kuhusu mzunguko maana me si kweli alikuwa kwenye hatari ya kupata mimba, na nimemhusisha imekuwa kesi,nikamwambia aniambie ukweli kama hakuwa na mahusiano huko nyuma kabla yangu lakini kakana.kalia sana eti hakutegemea kama ntamwambia mambo kama hayo.
Mara mimi najua hii mimba niyako hata ukikataa,, lakini mimi moyo wangu hauna amani kabisa juu ya swala hili,, nahisi kubambikiwa mzigo usiyo kuwa wangu.
Ilikuwa imebaki kidogo tu tuanze maisha ya ndoa maana wazazi taarifa wanazo kuwa runataka kuoana,,
lakini amani moyoni mwangu haipo nahisi harufu ya usaliti imepita.
Nisiwachoshe sana wakuu swali langu.
Kwa wataalamu wa mzunguko wa hedhi hasa wanawake mnisaidie je nikweli huu mzigo ni wangu?
Maana mimi nikiangalia siku zote tulizo shiriki siyo siku za kushika mimba kufatana na huo mzunguko wake.
Asije ikawa mimba alikuwa nayo halafu kaja kutegesha kwangu.
Nikomee hapo wakuu, msaada wenu ni mhimu sana.
Asanteni.
AseeZa kulea
Tuwekee link ya hyo app tukaichek mana play store zpo app kibaoHiyo mimba ni yako mzee alipata tarehe 24..natamani hata nikutumie pcha ya app ninayoitumia ku-calculate maana mm n mwanandoa na ndio naitumia kupanga uzazi. Hofu ondoa kabisa hiyo ni damu yako lea.
Habari za Jumapili njema wapendwa, sifa zote apewe Mungu muumba mbingu na nchi. Amina.