Nimesitisha kwenda gym na sitaki tena six packs

Msosi gani? Unamaanisha kiporo cha kande iliyochacha?

Unajua Salmon weweee? Unajua Brocoli wewee? Unayajua matunda ya peaches sewee? Unajua spanish eggs wewe?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wooiiii
 
Kama hauhusiki na ushoga unawasiwasi gani mzee
Mzuka wanajamvi!

Yani tunaenda gym kila siku mara tano kwa wiki. Kujiweka fit kuwavutia akina dada. Lakini mibongo mengine imeshabughia na kushindilia viporo vya kande iliyochacha na kuvimbiwa mitumbo wanaanza kutuita wenye mwili wa mazoezi eti mashoga.

Hii chisel shape body yangu na six packs sitaki tena. Sasa hivi nasaka kitambi kwa udi na uvumba.

Wabongo tuna roho mbaya utakuta hata kwenye magari eti kuna magari flani ni ya wanawake mwanaume akiiendesha unachekwa.

Cc secret file
 
mashoga tasnia ya kubeba vyuma ni kubwa mno
 
Mapenzi pesa sio tena sixpack, ukiwa kama baharesa wangapi watasema sitaki?
 
Mzuka wanajamvi!

Yani tunaenda gym kila siku mara tano kwa wiki. Kujiweka fit kuwavutia akina dada. Lakini mibongo mengine imeshabughia na kushindilia viporo vya kande iliyochacha na kuvimbiwa mitumbo wanaanza kutuita wenye mwili wa mazoezi eti mashoga.

Hii chisel shape body yangu na six packs sitaki tena. Sasa hivi nasaka kitambi kwa udi na uvumba.

Wabongo tuna roho mbaya utakuta hata kwenye magari eti kuna magari flani ni ya wanawake mwanaume akiiendesha unachekwa.

Cc secret file
Kumbe unapiga gym kuvutia mabinti??,duh una taabu sana.Watoto wa watu wanataka cash siyo kifua chako,kifua peleka huko kubebea magunia.
 
sasa hizo hela mnawapa wanakuja kutupa sisi. Angalia jaky alivyokuwa anamfanyia mengi
 
Kwahiyo unaishi kwa kupangiwa? Hebu tengeneza mwili huko, hayo ni maneno ya walovimbiwa viporo wanataka wakutoe kwenye reli.
 
sasa hizo hela mnawapa wanakuja kutupa sisi. Angalia jaky alivyokuwa anamfanyia mengi
Sasa mbona jamaa(Mtoa Uzi),analalamika kuwa Six pack haijamsaidia kupata watoto wazuri?.Maisha ya kukalili kuwa wasichana wote wanapenda wanaume wenye vifua yanawapotosha sana vijana wengi.Tafuteni pesa sio vifua,kuna wasichana hawahitaji vifua,wao wanataka pesa na huduma bora kitandani.
 
Mzuka wanajamvi!

Yani tunaenda gym kila siku mara tano kwa wiki. Kujiweka fit kuwavutia akina dada. Lakini mibongo mengine imeshabughia na kushindilia viporo vya kande iliyochacha na kuvimbiwa mitumbo wanaanza kutuita wenye mwili wa mazoezi eti mashoga.

Hii chisel shape body yangu na six packs sitaki tena. Sasa hivi nasaka kitambi kwa udi na uvumba.

Wabongo tuna roho mbaya utakuta hata kwenye magari eti kuna magari flani ni ya wanawake mwanaume akiiendesha unachekwa.

Cc secret file
Hilo la ushoga na wajaa vifua sio mjadala tena...kulikuwa na mlinzi mmoja pale mjini posta alikuwa anashikishwa wall alikuwa akilinda ukumbi maarufu wa disco.
Kama unafanya kazi hakuna haja ya uwe na hofu ila kama unaenda kutafuta kifua bila hela na kazi elewa wauza mafuta maarufu dunia watakuzibua mfereji wa suez.
 
Back
Top Bottom