Nimesoma hii comment ya huyu hadi mwili umesisimuka

Hilo la mwanamke hajapoteza ila ameongeza , hongera
 
Uanaume unahitaji moyo mgumu unapokonywa kitu chako lakn unakaza maisha yanaenda
 
Dooh 😪 kweli inauma mnoo lakini kama una familia yako na Mke wako anakuheshimu songa mbele huwezi jua kipi ulikiepuka baada ya huyo mwanamke kuchukuliwa na huyo Mbunge.

Inauma sana kuwekeza hisia zako kwa mtu ambaye hana maamuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…