Gooluckyshy New Member Joined Dec 9, 2022 Posts 1 Reaction score 0 Dec 11, 2022 #1 Naitwa Goodluck nina umri wa miaka 3, nimesoma NIT kozi ya Advanced Driver's Grade Two-VIP. Nina uzoefu wa miaka 4 katika kazi ya udereva na nina endesha gari za aina zote. License Class A, A2, B, C1,C2,C3,D na E.
Naitwa Goodluck nina umri wa miaka 3, nimesoma NIT kozi ya Advanced Driver's Grade Two-VIP. Nina uzoefu wa miaka 4 katika kazi ya udereva na nina endesha gari za aina zote. License Class A, A2, B, C1,C2,C3,D na E.
n-propanol JF-Expert Member Joined Apr 7, 2019 Posts 5,349 Reaction score 7,000 Dec 11, 2022 #2 Experience miaka 4, umri wako 3 seriously?.
little master JF-Expert Member Joined Jul 16, 2018 Posts 1,870 Reaction score 3,589 Dec 11, 2022 #3 AGITATOR said: Experience miaka 4, umri wako 3 seriously?. Click to expand... Hii bongo ni balaa mzee
AGITATOR said: Experience miaka 4, umri wako 3 seriously?. Click to expand... Hii bongo ni balaa mzee
H handsomezombie12 Member Joined Jun 10, 2022 Posts 73 Reaction score 121 Dec 12, 2022 #4 AGITATOR said: Experience miaka 4, umri wako 3 seriously?. Click to expand... makosa madogo hayo kwenye kutype yani umeshindwa kabisa kujua kwamba mtoa mada ameteleza ... wewe ndio haupo serious sasa
AGITATOR said: Experience miaka 4, umri wako 3 seriously?. Click to expand... makosa madogo hayo kwenye kutype yani umeshindwa kabisa kujua kwamba mtoa mada ameteleza ... wewe ndio haupo serious sasa