Nimestaafu Rasmi Kujihusisha , Kushabikia, Kutoa Maoni, Kuhusu Siasa kwa Maudhui ya Tanzania

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Ndugu wana jukwaa naomba kipekee niwaombe radhi wote na nitoe taarifa yangu ya kustaafi kujihusisha na ujumbe au maudhui ya aina yoyote yanayohusu Siasa za Tanzania.

Na sababu ya msingi ni kwamba bado jamii ya watanzania, Serikali na viongozi wake, vyama vyote vya siasa watu jawajakomaa kifikra, hawaheahimu haki na uhuru wa kufikiri na kutoa maoni.

Mazingira ya kufanya siasa na kutoa maoni ya kisiasa ni hatarishi sana kuliko kawaida, tuna aina ya viongozi wenye upeo mdogo sana na hafifu sana wa kifikra.

Tuna watu ambao hawaaani katika Tanzania ya vyama vingi, tuna watu wasioheshimu katiba na sheria.

Haki ya kuishi na kutoa maoni inachezewa sana.

Kwa hiari na kwa kiapo changu binafsi naachana na maoni ya kisiasa na kushiriki siasa za nchi duni kifikra ya Tanzania.

Nitafikiria kurejea hadi pale haki na uhuru wa kisiasa utakapopata misingi thabiti na utekelezaji thabiti wa kuheshimu katiba na Demokrasia ya kweli ikiishi kwa vitendo.

Upeo wa kifikra hasa katika kutofautiana na kuishi na tofauti zetu kwa uhuru na haki na tukifahamu fika dhima kuu ya kuishi ukomavu na uvumilivu baina yetu, jamii na Taifa kwa ujumla ntarudi kwenye kuishi maisha ya kweli kwa maana siasa ni maisha na maisha ni siasa.

Nawaombea kwa Mungu wale wote wanaopitia changamoto na watakaopitia changamoto hasa kwa kujihusisha na Siasa, kutoa maoni ya kisiasa na kusimamia haki na uhuru wa katiba na Demokrasia.

Natoa shukrani za kipekee kwa kuwa pamoja nanyi na kupata fursa adhimu ya ushiri wa miaka miwili 2022-2024.

Mungu wetu sote na aliye wakweli Jana, Leo , kesho na hata milele akawe nguzo kwenu nyote.

Asanteni sana

Pang Fung Mi
 
Sasa kama utarejea pale haki itakapopatikana, unadhani hiyo haki italetwa na nani wakati tayari wewe unabwaga manyanga?

^We must battle and break and bleed so our future generations can bathe and breathe and breed.^
 
Ndugu wana jukwaa naomba kipekee niwaombe radhi wote na nitoe taarifa yangu ya kustaafi kujihusisha na ujumbe au maudhui ya aina yoyote yanayohusu Siasa za Tanzania.

Na sababu ya msingi ni kwamba bado jamii ya watanzania, Serikali na viongozi wake, vyama vyote vya siasa watu jawajakomaa kifikra, hawaheahimu haki na uhuru wa kufikiri na kutoa maoni.

Mazingira ya kufanya siasa na kutoa maoni ya kisiasa ni hatarishi sana kuliko kawaida, tuna aina ya viongozi wenye upeo mdogo sana na hafifu sana wa kifikra.

Tuna watu ambao hawaaani katika Tanzania ya vyama vingi, tuna watu wasioheshimu katiba na sheria.

Haki ya kuishi na kutoa maoni inachezewa sana.

Kwa hiari na kwa kiapo changu binafsi naachana na maoni ya kisiasa na kushiriki siasa za nchi duni kifikra ya Tanzania.

Nitafikiria kurejea hadi pale haki na uhuru wa kisiasa utakapopata misingi thabiti na utekelezaji thabiti wa kuheshimu katiba na Demokrasia ya kweli ikiishi kwa vitendo.

Upeo wa kifikra hasa katika kutofautiana na kuishi na tofauti zetu kwa uhuru na haki na tukifahamu fika dhima kuu ya kuishi ukomavu na uvumilivu baina yetu, jamii na Taifa kwa ujumla ntarudi kwenye kuishi maisha ya kweli kwa maana siasa ni maisha na maisha ni siasa.

Nawaombea kwa Mungu wale wote wanaopitia changamoto na watakaopitia changamoto hasa kwa kujihusisha na Siasa, kutoa maoni ya kisiasa na kusimamia haki na uhuru wa katiba na Demokrasia.

Natoa shukrani za kipekee kwa kuwa pamoja nanyi na kupata fursa adhimu ya ushiri wa miaka miwili 2022-2024.

Mungu wetu sote na aliye wakweli Jana, Leo , kesho na hata milele akawe nguzo kwenu nyote.

Asanteni sana

Pang Fung Mi
Unaogopa kutekwa?
 
Uamuzi wako ni mgumu na mzito,nakutakia kila la kheri ila naona kama umetuacha jagwani.
 
:AYOOO: :InsaneChamping:
 
Asante Bwana Mgombea Uliyepata kula mbili.
 
Back
Top Bottom