Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Leo nimeenda kupata chakula hapa Dodoma katika Restaurant ya Chief Asili nimeshangaa kuambiwa imefungwa, nikasogea mbele pale Mwambao nayo imefungwa.
Kuulizia nikaambiwa wamiliki ni Muslims-kwa kweli Mimi nimestaajabishwa sana, nikajiuliza ina maana kwenye Nchi za kiarabu napo Restaurants zao zinafungwa mwezi wa Ramadhani.