Huo Mgahawa sio Shirika la Umma ana haki ya kufanya afanyalo cha msingi asivunje sheria za NchiSawa mlinzi wa shishi food
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo Mgahawa sio Shirika la Umma ana haki ya kufanya afanyalo cha msingi asivunje sheria za NchiSawa mlinzi wa shishi food
Point alafu tukiwaambia wao sio wafungaji utasikia tunafungia RohoniHalafu kwaresma haijaisha kwanini wakristo wanalalamika suala la kula mchana
Ukiuliza hivyo maana yake wasabato na madhebu mengine itakuwa unaona wana haki ya kutofanya biashara kipindi cha ibada zao isipokuwa waislam,Labda,ndio maana nikauulize huko katika Nchi za Waisalma pure napo ni hivyo hivyo.
Yani huko SAUDIA,Turkey,Misri,Algeria ,Tunisia,Afghanistan, Pakistan,Iran,Iraq,Kuwait Leo hii kote Restaurant zimefungwa?