Nimestaajabishwa na kufungwa kwa restaurants za Chief Asili & Mwambao Jijini Dodoma

Nimestaajabishwa na kufungwa kwa restaurants za Chief Asili & Mwambao Jijini Dodoma

Labda,ndio maana nikauulize huko katika Nchi za Waisalma pure napo ni hivyo hivyo.

Yani huko SAUDIA,Turkey,Misri,Algeria ,Tunisia,Afghanistan, Pakistan,Iran,Iraq,Kuwait Leo hii kote Restaurant zimefungwa?
Ndio mkuu,Restaurant zote zinafungwa mpaka muda wa kufturu.
 
Labda shida imeanzia hapo kuwa na wafanyakazi wengi waislamu,ambapo napo sio jambo zuri ni kama ubaguzi
Hayo mambo yapo sana, nimewahi kufika kwenye viwanda vya Mo pale vingunguti, wengi waliopo pale ni wa Imani yake the same pia pale Azam ni hivyo hivyo

Labda wanaamua kunyanyuana. Wanasema charity begins at home
 
Leo nimeenda kupata chakula hapa Dodoma katika Restaurant ya Chief Asili nimeshangaa kuambiwa imefungwa, nikasogea mbele pale Mwambao nayo imefungwa.

Kuulizia nikaambiwa wamiliki ni Muslims-kwa kweli Mimi nimestaajabishwa sana, nikajiuliza ina maana kwenye Nchi za kiarabu napo Restaurants zao zinafungwa mwezi wa Ramadhani.
Tuheshimu imani za wengine mfungo kwao ni ibada kamili. Tuwaache.
 
Kuna rafiki yangu mmoja anafanya kazi pale, zaidi ya asilimia 85 ya wahudumu na wapishi pale ni Waislamu.

Huenda mmiliki ameamua kuheshimu imani zao, maana kumfanya Mpishi akupikie chakula bila kuonja chumvi sio sahihi na wao wako kwenye mfungo
Chumvi ya Futari anaonja nani?
 
Labda,ndio maana nikauulize huko katika Nchi za Waisalma pure napo ni hivyo hivyo.

Yani huko SAUDIA,Turkey,Misri,Algeria ,Tunisia,Afghanistan, Pakistan,Iran,Iraq,Kuwait Leo hii kote Restaurant zimefungwa?
Mbona sisi jumamosi hatufanyi kazi yoyote ikiwemo hata biashara hamtusemi?
Na wengine hawafanyi biashara zao jumapili mko kimya?
Mimi naona heri hao wanafunga kwa muda si kwa siku nzima
 
Ni sawa. Mpishi muislam akupikie wewe halafu asile? Utamuonea bure.
Nenda jioni ukale futari
 
Hawako seriouse na biashara hawa..wana shindwa kuacha mgahawa uendeshwe na asie funga
Mbona sisi jumamosi hatufanyi kazi yoyote ikiwemo hata biashara hamtusemi?
Na wengine hawafanyi biashara zao jumapili mko kimya?
Mimi naona heri hao wanafunga kwa muda si kwa siku nzima
 
Back
Top Bottom