Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
DiniLeo nimenda kupata chakula hapa Dodoma katika Restaurant ya Chief Asili nimeshangaa kuambiwa imefungwa,nikasogea mbele pale Mwambao nayo imefungwa.
Kuulizia nikaambiwa wamiliki ni Muslims-kwa kweli Mimi nimesitajabishwa sana,nikajiuliza ina maana kwenye Nchi za kiarabu napo Restaurants zao zinafungwa.
Aah wanahamisha ratiba ya watu kulaNadhani sio kufunga direct isipokua wanabadili ratiba kama shishifood anaanza kuuza jioni muda wa futari hadi usiku.
Hawako seriouse na biashara hawa..wana shindwa kuacha mgahawa uendeshwe na asie fungaNadhani sio kufunga direct isipokua wanabadili ratiba kama shishifood anaanza kuuza jioni muda wa futari hadi usiku.
Ndiyo kama vipi unapika kwako tu.Aah wanahamisha ratiba ya watu kula
Shida huko ni vyakula 'vilivyochemshwa'......Nenda migahawa ya kikristo
Labda shida imeanzia hapo kuwa na wafanyakazi wengi waislamu,ambapo napo sio jambo zuri ni kama ubaguziKuna rafiki yangu mmoja anafanya kazi pale, zaidi ya asilimia 85 ya wahudumu na wapishi pale ni Waislamu.
Huenda mmiliki ameamua kuheshimu imani zao, maana kumfanya Mpishi akupikie chakula bila kuonja chumvi sio sahihi na wao wako kwenye mfungo
Mbona sisi jumamosi hatufanyi kazi yoyote ikiwemo hata biashara hamtusemi?Hawako seriouse na biashara hawa..wana shindwa kuacha mgahawa uendeshwe na asie funga
Labda,ndio maana nikauulize huko katika Nchi za Waisalma pure napo ni hivyo hivyo.Hiyo ni kawaida ,hata Azam huwezi kupata Ice Cream kabla ya saa 12 jioni hata maji hawakuuzii
Nadhani ni utaratibu mzuri waliojiwekea
Fungua wa kwako ufanye hayo. Ya nini malalamiko?Hawako seriouse na biashara hawa..wana shindwa kuacha mgahawa uendeshwe na asie funga
Tumia hiyo kama Fursa wewe anzisha na uza Mchana badala ya kulaumuHawako seriouse na biashara hawa..wana shindwa kuacha mgahawa uendeshwe na asie funga
Ndio,kama unaijua vizuri geographia ya Dodoma-kupata chakula ukiwa pale katikati ya Jiji ni changamoto.Hili nalo nilakuanzishia Thd JF?