The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Ndio mkuu,Restaurant zote zinafungwa mpaka muda wa kufturu.Labda,ndio maana nikauulize huko katika Nchi za Waisalma pure napo ni hivyo hivyo.
Yani huko SAUDIA,Turkey,Misri,Algeria ,Tunisia,Afghanistan, Pakistan,Iran,Iraq,Kuwait Leo hii kote Restaurant zimefungwa?
Ndo akomae sasa asubiri futari jioniShida huko ni vyakula 'vilivyochemshwa'......
Hayo mambo yapo sana, nimewahi kufika kwenye viwanda vya Mo pale vingunguti, wengi waliopo pale ni wa Imani yake the same pia pale Azam ni hivyo hivyoLabda shida imeanzia hapo kuwa na wafanyakazi wengi waislamu,ambapo napo sio jambo zuri ni kama ubaguzi
Tuheshimu imani za wengine mfungo kwao ni ibada kamili. Tuwaache.Leo nimeenda kupata chakula hapa Dodoma katika Restaurant ya Chief Asili nimeshangaa kuambiwa imefungwa, nikasogea mbele pale Mwambao nayo imefungwa.
Kuulizia nikaambiwa wamiliki ni Muslims-kwa kweli Mimi nimestaajabishwa sana, nikajiuliza ina maana kwenye Nchi za kiarabu napo Restaurants zao zinafungwa mwezi wa Ramadhani.
Umechangia kiasi gani kwenye msingi wa biashara yake?Uislamu alete Mwarabu halafusisi wabantu tunajitesa kwa kufunga mahoteli
AiseeShida huko ni vyakula 'vilivyochemshwa'......
Chumvi ya Futari anaonja nani?Kuna rafiki yangu mmoja anafanya kazi pale, zaidi ya asilimia 85 ya wahudumu na wapishi pale ni Waislamu.
Huenda mmiliki ameamua kuheshimu imani zao, maana kumfanya Mpishi akupikie chakula bila kuonja chumvi sio sahihi na wao wako kwenye mfungo
Wataonja wao baada ya kufuturu 😄Chumvi ya Futari anaonja nani?
Mbona sisi jumamosi hatufanyi kazi yoyote ikiwemo hata biashara hamtusemi?Labda,ndio maana nikauulize huko katika Nchi za Waisalma pure napo ni hivyo hivyo.
Yani huko SAUDIA,Turkey,Misri,Algeria ,Tunisia,Afghanistan, Pakistan,Iran,Iraq,Kuwait Leo hii kote Restaurant zimefungwa?
Mbona sisi jumamosi hatufanyi kazi yoyote ikiwemo hata biashara hamtusemi?Hawako seriouse na biashara hawa..wana shindwa kuacha mgahawa uendeshwe na asie funga
Kwa kweliTumia hiyo kama Fursa wewe anzisha na uza Mchana badala ya kulaumu
Kwanza wakristo wamefunga anaye kula ni nani mnatuchanganya?Mbona sisi jumamosi hatufanyi kazi yoyote ikiwemo hata biashara hamtusemi?
Na wengine hawafanyi biashara zao jumapili mko kimya?
Mimi naona heri hao wanafunga kwa muda si kwa siku nzima
Sawa mlinzi wa shishi foodTumia hiyo kama Fursa wewe anzisha na uza Mchana badala ya kulaumu
😂😂Watuambie ni akina nani Hawa wanaomtafuta chief asili mda huu😂Kwanza wakristo wamefunga anaye kula ni nani mnatuchanganya?
Halafu kwaresma haijaisha kwanini wakristo wanalalamika suala la kula mchanaAnzisha yako uite Agape Restaurant ufungue mchana