P Pohamba JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 27,632 Reaction score 61,194 Mar 24, 2023 #41 Mr Devil said: Sawa mlinzi wa shishi food Click to expand... Huo Mgahawa sio Shirika la Umma ana haki ya kufanya afanyalo cha msingi asivunje sheria za Nchi
Mr Devil said: Sawa mlinzi wa shishi food Click to expand... Huo Mgahawa sio Shirika la Umma ana haki ya kufanya afanyalo cha msingi asivunje sheria za Nchi
professional Driver JF-Expert Member Joined Sep 23, 2022 Posts 2,959 Reaction score 3,510 Mar 24, 2023 #42 Nurain said: Halafu kwaresma haijaisha kwanini wakristo wanalalamika suala la kula mchana Click to expand... Point alafu tukiwaambia wao sio wafungaji utasikia tunafungia Rohoni Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nurain said: Halafu kwaresma haijaisha kwanini wakristo wanalalamika suala la kula mchana Click to expand... Point alafu tukiwaambia wao sio wafungaji utasikia tunafungia Rohoni Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
ACHIKOYO JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 312 Reaction score 352 Mar 24, 2023 #43 Econometrician said: Labda,ndio maana nikauulize huko katika Nchi za Waisalma pure napo ni hivyo hivyo. Yani huko SAUDIA,Turkey,Misri,Algeria ,Tunisia,Afghanistan, Pakistan,Iran,Iraq,Kuwait Leo hii kote Restaurant zimefungwa? Click to expand... Ukiuliza hivyo maana yake wasabato na madhebu mengine itakuwa unaona wana haki ya kutofanya biashara kipindi cha ibada zao isipokuwa waislam,
Econometrician said: Labda,ndio maana nikauulize huko katika Nchi za Waisalma pure napo ni hivyo hivyo. Yani huko SAUDIA,Turkey,Misri,Algeria ,Tunisia,Afghanistan, Pakistan,Iran,Iraq,Kuwait Leo hii kote Restaurant zimefungwa? Click to expand... Ukiuliza hivyo maana yake wasabato na madhebu mengine itakuwa unaona wana haki ya kutofanya biashara kipindi cha ibada zao isipokuwa waislam,
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,474 Reaction score 125,866 Apr 24, 2024 #44 Mwamba kashajipata, anasimamisha mjengo wa Ghorofa mjini Dodoma