Nimestaajabu, Minyoo katika nyama ya kuku

Nimestaajabu, Minyoo katika nyama ya kuku

Sir Hemedi

Senior Member
Joined
Sep 28, 2016
Posts
112
Reaction score
120
Habari wadau wa JF:
Kwa wenye utaalamu na hili,

Nimenunua kuku nikamwandaa vizuri na kumpika kwa takribani dakika 50 au saa 1.

Nimeshangaa baada ya kuchukua nyama nimekutana na minyoo ikiwa hai kabisa licha ya kuipika nyama kwa muda huo wote.

Je, hii ni nini kitaalamu? Hawa minyoo hawafi kwa moto? Je nyama hii inafaa kuliwa?

Naomba ufafanuzi wadau najua humu kuna wafugaji na wataalamu wengine.
 
Sitanii wadau nipo serious
Huyu mnyoo hadi sasa hivi yupo hai na anajikunjakunja tu licha ya kukaa jikoni kwa takribani dakika 50
mnyoo.jpeg
 
aisee kumbe ni serious
ila bora wewe umeleta ushahidi,wale wa kuhusu kitimoto hua wanatudanganya
 
aisee kumbe ni serious
ila bora wewe umeleta ushahidi,wale wa kuhusu kitimoto hua wanatudanganya
 
Yani umesubiri idd imefika ndo umeamua kuja kutuvuruga humu mkuu [emoji22][emoji22]
Sio kuwavuruga hata mimi nimevurugika kwa sababu nimeona ni kitu cha ajabu ndio maana nimeomba kama kuna wataalamu wanifafanulie.

Hata mimi huyo kuku nimemnunua kwa ajili ya Iddi ila ndio imetokea hivyo.
 
Hamna ukweli wowote hapa, ni wivu tu!
Tukianzia picha ya mnyoo hadi maelezo

Kwaheri
 
Wadau nipo serious kama hamna uzoefu na swala hili naomba tusijaze uzi tusubiri wataalamu waje watufafanulie
IMG_20190604_153353.jpeg
 
Sio kuwavuruga hata mimi nimevurugika kwa sababu nimeona ni kitu cha ajabu ndio maana nimeomba kama kuna wataalamu wanifafanulie.

Hata mimi huyo kuku nimemnunua kwa ajili ya Iddi ila ndio imetokea hivyo.
Duuh ngoja tusubiri majibu.
 
Mkuu hiyo nyama kama ulichemsha mda wote huo na hao wadudu hawajafa basi ni mshangao, ila kitaalam wanasema zipo nyama huwa zinatakiwa kupikwa kwa mda mrefu kama kitimoto
 
Wadau nipo serious kama hamna uzoefu na swala hili naomba tusijaze uzi tusubiri wataalamu waje watufafanulieView attachment 1117472
1.Wewe hadi umeunga(japokuwa umeunga kiboya) maana yake huyo gweo lazima aliwe.

2.Sasa kama gweo unamtafuna na minyoo unasema haijafa.. Hell you are.

Conclusion: This is not valid.
Kwa tuliosoma Logic(correcting reasonings) uki taste validity hapo izo statements mbili maana yake icho kitu ulichokisema sio kweli.
 
1.Wewe hadi umeunga(japokuwa umeunga kiboya) maana yake huyo gweo lazima aliwe.

2.Sasa kama gweo unamtafuna na minyoo unasema haijafa.. Hell you are.

Conclution: This is not valid.
Kwa tuliosoma Logic(correcting reasonings) uki taste validity hapo izo statements mbili maana yake icho kitu ulichokisema sio kweli.
Conclution ndio kitu gani? Rudi darasani usichafue Kiingereza. Jieleze kwa Kiswahili.
 
Back
Top Bottom