Sir Hemedi
Senior Member
- Sep 28, 2016
- 112
- 120
Habari wadau wa JF:
Kwa wenye utaalamu na hili,
Nimenunua kuku nikamwandaa vizuri na kumpika kwa takribani dakika 50 au saa 1.
Nimeshangaa baada ya kuchukua nyama nimekutana na minyoo ikiwa hai kabisa licha ya kuipika nyama kwa muda huo wote.
Je, hii ni nini kitaalamu? Hawa minyoo hawafi kwa moto? Je nyama hii inafaa kuliwa?
Naomba ufafanuzi wadau najua humu kuna wafugaji na wataalamu wengine.