Sir Hemedi
Senior Member
- Sep 28, 2016
- 112
- 120
Sio kuwavuruga hata mimi nimevurugika kwa sababu nimeona ni kitu cha ajabu ndio maana nimeomba kama kuna wataalamu wanifafanulie.Yani umesubiri idd imefika ndo umeamua kuja kutuvuruga humu mkuu [emoji22][emoji22]
Sehemu za MiguiSehemu gani umepata hiyo minyoo
Duuh ngoja tusubiri majibu.Sio kuwavuruga hata mimi nimevurugika kwa sababu nimeona ni kitu cha ajabu ndio maana nimeomba kama kuna wataalamu wanifafanulie.
Hata mimi huyo kuku nimemnunua kwa ajili ya Iddi ila ndio imetokea hivyo.
Wadau nipo serious kama hamna uzoefu na swala hili naomba tusijaze uzi tusubiri wataalamu waje watufafanulieView attachment 1117472
Miguuni sijawai ona minyoo ngoja tusubiri wataalamSehemu za Migui
Wadau nipo serious kama hamna uzoefu na swala hili naomba tusijaze uzi tusubiri wataalamu waje watufafanulieView attachment 1117472
Afadhali maana nilijua umempata kwenye nyama,mimi kawaida hiyo miguu huwa sili...Sehemu za Migui
1.Wewe hadi umeunga(japokuwa umeunga kiboya) maana yake huyo gweo lazima aliwe.Wadau nipo serious kama hamna uzoefu na swala hili naomba tusijaze uzi tusubiri wataalamu waje watufafanulieView attachment 1117472
Conclution ndio kitu gani? Rudi darasani usichafue Kiingereza. Jieleze kwa Kiswahili.1.Wewe hadi umeunga(japokuwa umeunga kiboya) maana yake huyo gweo lazima aliwe.
2.Sasa kama gweo unamtafuna na minyoo unasema haijafa.. Hell you are.
Conclution: This is not valid.
Kwa tuliosoma Logic(correcting reasonings) uki taste validity hapo izo statements mbili maana yake icho kitu ulichokisema sio kweli.