Nimestaajabu sana huu utani wa mashemeji

Nimestaajabu sana huu utani wa mashemeji

"live your life"by T.I.......kupanga ni kuchagua mkuu hata wakikulana ni fair tu as long as ni wao wamekubaliana#obheja
 
Haya maisha ya utani mwingi na mashemej huishiaga kulana kuna rafiki yangu alikuwa anaishi na shemeji yake mdogo wa mkewe ni kibinti tu kiko chuo sasa sababu ya kufungwa vyuo kwa covid 19 kikaja kupumzika home kwa sister ake ambae ni mke wa mshikaji wangu ila jamaa alikuwa nacho very close kutembeatembea kariakoo huko anakapeleka akija kwangu kunitembelea mara anakuja nako siku moja anakuja kunambia eti jana yake alikuwa anafanya kazi za kiofis mpaka usiku mkali kibint kimeamka kwenda toilet kimetoka toilet kikaja sebulen kimekaa nae mezan jamaa anapiga kazi mara kimemkalia mapajani mara wameanza kudendeka sanaaa sema hakukichakata ila kikaanza kuwa na mazoea zaid text haziishi mara uko wapi n.k ila dadaake alikirudisha kwao fasta baada ya kukaona kama kamenza kuwa na kiburi but dada mtu hakujua chchte
 
Maisha ni vile unayachukulia na kuyapangilia uishije.

Ukitaka kijeshijeshi basi kwata itakuhusu kwenye maisha yako.

Ukitaka kipemba pemba basi urojo utakuhusu kwenye maisha yako.

Sio kesi, kutoa gesi ukiwa peke yako raha sana, nayo ni uchaguzi wa maisha.
Nmekumic jomoneee mam kubwa lol, hadi naumwaaah
 
Mmmmmmh mtu na shemelaaa ktk ubora wao wa utani.
 
Anaepelekeshwa katulia, kaka mtu ndio huyo anaulizia kama dada anapata haki yake, wewe shida inatoka wapi mkuu? Makabila mengine au watu wengine wanatamaduni na utani wao...

Shida itakua ipo kwako, unaona umeenda mbali hadi kuwawazia wenzako kaka na dada mambo yasiyokuwa na mila, akili yako inawezakuwa na shida kuliko hao wanaofanya masihara.

Hata hivyo unafikiti kaka mtu hajui kama dadaake hua wanasawazishana na mme wake?
 
Sijaona tatizo ni vitu vya kawaida naona nikama wanaume tukiwa tumekaa sehemu fulani alafu kila mtu akawa anasimulia mwenzie kuhusu mwanamke wake wakiwa kitandani.
 
Write your reply...mkuuuuu unaankili sana and your really gentlomen haiwezekani utani wa hivo bana
 
Maisha ni vile unayachukulia na kuyapangilia uishije.

Ukitaka kijeshijeshi basi kwata itakuhusu kwenye maisha yako.

Ukitaka kipemba pemba basi urojo utakuhusu kwenye maisha yako.

Sio kesi, kutoa gesi ukiwa peke yako raha sana, nayo ni uchaguzi wa maisha.
K matata!
 
Huo sio utani mzuri,utani wa kihivyo na mashemeji kwa uzoefu wangu wengi wameishia kuja kufanya mapenzi,unakuta shemeji mmezoeana mpaka dada mtu anamwambia mdogo wake wa kike msindikize shemeji yako akanywe bia mbili mimi leo nimechoka siwezi kutoka,hapo unategemea nini,au mke anasafiri anamwambia mdogo wake wa kike akakae na shemeji yake amsaidie kupika.Sipendelei ukaribu wa kihivyo na shemeji zangu wa kike...
 
Kila neno au tendo duniani unaweza kutafasiri kutegemeana na malezi na mazingira ya wahusika
 
Hao wako sawa ki umri.
Ndiyo tatizo laumbea. Kusikiliza ya watu. Kwa nini ulitega sikio? Na uliaminije kuwa anaongea na shemeji yake na wala siyo mchepuko wake? Ivo kuamua kukupoteza usije mwambia mkewe?
Au ni wewe mwenye tabia hiyo unajaribu kusanya maoni Jf italionaje
Ni ngumu kujua upande wa pili wa receiver unatema madini gani sikioni.
 
Back
Top Bottom