Maisha ni vile unayachukulia na kuyapangilia uishije.
Ukitaka kijeshijeshi basi kwata itakuhusu kwenye maisha yako.
Ukitaka kipemba pemba basi urojo utakuhusu kwenye maisha yako.
Sio kesi, kutoa gesi ukiwa peke yako raha sana, nayo ni uchaguzi wa maisha.