miminimkulimaakachekasana
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,263
- 4,730
ndio mitoko yangu KAPELO NA MIWANI NYEUSI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kajitazame ktk kioo je una tacko la kike??Leo nilibahatika kutembelea moja ya mgahawa mjini kupata chochote kitu baada ya mihangaiko ya hapa na pale.kwenye mgahawa ule niliagiza chakula ambacho nilikuwa nakihitaji "menu ilikuwa ya nguvu".
Nilifanikiwa kumaliza msosi wangu. Vizuri nikaenda zangu kuosha mikono na kuelekea counter kwenda kulipia bili nionfoke zangu cha kushangaza wakati natoa pesa yule manager kaniambia umeshalipiwa kanirudishia pesa zangu nikastuka sababu nilikuja mwenyewe kwenye mgahawa ule na pia ndani ya mgahawa ule sikumuona mtu ninaye mfahamu.Ikabidi nimkazie jamaa nimelipiwa na nani wakati nipo pekee yangu akawa anakataa kupokea hela akisema huwa hawapokei bill mara mbili hivyo niende zangu nimeshalipiwa.Kumuuliza vizuri akasema jamaa mmoja hivi kavaa kapelo na miwani ndiye kanilipia ikabidi niondoke zangu nikiwa na hali ya mshangao
Kutoka nje nafungua simu niingie whatsap nakuta bundle hakuna palikuwepo na kiduka nje ya mgahawa ule nikaenda kuagizia vocha ya voda cha kushangaza yule muuza duka akakataa kupokea hela yangu akidai kuna mtu kanilipia aise nilikuwa mbogo lakini alisema bro kuna mtu kashalipa tayar nikamtupia vocha yake na kusepa zangu
Wadau leo nimekuwa nikijiuliza maswali mengi ni nani huyu anayelipia watu ? Ana nia gani ? Na kwann
Ile hoteli siendi tena na tayari wameshampoteza mteja
Mpaka sasa sielewi kwa mantiki ipi from nowhere uambiwe imelipiwa bili
hahahah! kesho aingie show room moja anajifanya kama anataka kununua gari. mtu wa kapero na miwani anaweza kumlipiaUngeenda atm au kwa wauza magari uone kitatokea nini.
Mmmh. Asijekuwa kaka jambazi
Usiwaze ni ramadhani wamekufuturisha ili wapate thwawabu huko mbeleMe kiongozi
ID yako ya zamani ni ipi?ndio mitoko yangu KAPELO NA MIWANI NYEUSI
Unapotunga hadithi uwe unajiongeza kuangalia nani watasoma bandiko lako,mfano huyo mlipaji wako alijuaje utakwenda kununua vocha duka hilo na sio duka jingine?Leo nilibahatika kutembelea moja ya mgahawa mjini kupata chochote kitu baada ya mihangaiko ya hapa na pale.kwenye mgahawa ule niliagiza chakula ambacho nilikuwa nakihitaji "menu ilikuwa ya nguvu".