Nimestuka sana leo nilivyoambiwa nimelipiwa bili ,mpaka sasa natahamaki

Kajitazame ktk kioo je una tacko la kike??
 
Angalia vizuri na huku umeshakuwa Platnum member..
 
Ungeenda atm au kwa wauza magari uone kitatokea nini.
hahahah! kesho aingie show room moja anajifanya kama anataka kununua gari. mtu wa kapero na miwani anaweza kumlipia
 
we ni mwanaume au mwanamke?? kama mwanaume kuna mawili...

Demu kakupenda anakutega

Kuna linjemba linakuvizia either kwa mabaya (Mungu pitisha mbali) au mazuri !
 
Mmmmmmmmh hatari hiyooo...ila kwa hali ya sasa ningeshukuru mungu tu
 
Umejaza msosi na mr kapelo kakujaza Bill.. Usihofu ni promotion ya tiGo hio
 
Kumbe ni jukwaa la chit chat....no wonder!
 
Unapotunga hadithi uwe unajiongeza kuangalia nani watasoma bandiko lako,mfano huyo mlipaji wako alijuaje utakwenda kununua vocha duka hilo na sio duka jingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…