Nimestushwa na Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Je ni kufilisika ki Maono kwa CCM?

Serikali inawawezeshaje kunufaika na sekta hio?
katika kilimo,
mazingira ni mazuri mno kwasababu ukilinganisha na wakati mwingine wote. Mathalani, upatikanaji wa pembejeo kama vile mbegu, mbolea, madawa na vifaa vya kilimo kama vile matrekta na power trilers ni rahisi sana na wa uhakika,

Mwaka uliopita October 2024, iliendeshwa program ya mafunzo kwa vijana kuhusu kilimo kidigitali, na vijana wake kwa waume zaidi ya laki5 walinufaika na matokeo yake yanaonekana kwenye ongezeko la uzalishaji wa mazao ya kilimo.

Mwezi uliopita February mwaka huu2025, serikali ilitangaza kutoa ufadhili wa 100% kwa vijana zaidi ya elfu3 kujiunga na vyuo vya mballimbali vya VETA, nchini vilivyoainishwa kwenye tangazo la ufadhili. Haya yote yanafanyika ili kuwawezesha vijana kujikwamua katika unyonge wa kiuchumi walionao.

Utakumbuka mwaka jana2024, pia Waziri wa Kilimo alianzisha program ya kilimo iliwawaweka vijana zaidi ya elfu1 kambini na kuwapatia mafunzo ya kilimo cha kisasa, na bilashaka matokeo ya program hiyo tutayaona kipindi cha mavuno mwaka huu, kwasabb vijana hao wapo kazini shambani mpaka sasa 🐒
 
Hapo naona TCU ndio wazushi mitaala yetu ni shida sana vijana wanaotoka vyuoni ni vilaza kabisa
 
Huu ni ukweli mtupu.👏
 
God teach us to number our days

Mungu atupe hekima ya kuzihesabu siku zetu na kila tukishiba tuwakumbuke na wenye jamaa na kubwa zaidi atupatie uzee wa heshima .

"Kauli Kama hizi zinafikirisha Sana "
 
God teach us to number our days

Mungu atupe hekima ya kuzihesabu siku zetu na kila tukishiba tuwakumbuke na wenye jamaa na kubwa zaidi atupatie uzee wa heshima .

"Kauli Kama hizi zinafikirisha Sana "
EAT MORE
By Joe Corrie

Eat more fruit!, the slogan say
More fish, more beef, more bread
But I’m on an employment pay
My third year now and wed
And so I wonder when I’ll see
The slogan when I pass
The only one that would suit me
Eat more bloody grass!

Ukifanya analysis ya huu ushairi ndipo unagundua mambo mengi na moja kwa moja kuhusu kauli ya PM wahitimu wa degree waende veta.

*Classes
*Unemployment
*Poverty
*Protest

E.t.c

Bado Kama taifa tuna safari ngumu na ndefu sanaa
 
Nimekuuliza specific, Daktari wa Meno (DDS) au Medicine (MD) au Nurse wanakwenda veta kupata ujuzi gani?

Mtu aliyemaliza Kilimo SUA, au Mass communication anakwenda veta kupata ujuzi gani?
Muongezee na hii,mtu kamaliza civil engineering,electrical engineering or mechanical engineering akirudi Veta anaanza upya kozi hizihizi alizograduate au.Au kauli yake inawalenga ambao wanadegree zisizo za ufundi?.
 
Njooni mtaani Tuwafundishe ufundi seremala sisi tusiojua kutofautisha R na L maana wasomi wetu ndicho munacho kijua.
 
Watoto wenu ninyi mbona hawaendi VETA wanajazana kwenye siasa tu.

Jamaa katoa madini mujarabu sana, serikali ya CCM haijatengeneza mazingira ya hao vijana kujiajiri au kwenda VETA.
 
Watoto wenu ninyi mbona hawaendi VETA wanajazana kwenye siasa tu.

Jamaa katoa madini mujarabu sana, serikali ya CCM haijatengeneza mazingira ya hao vijana kujiajiri au kwenda VETA.
pamoja na madigrii nilioyonayo,
lakini pia nimepitia VETA kupata ujuzi wa kuendesha gari kwa umaskini, lakini pia mimi ni fundi welding mzuri mno, ujuzi ambao unanisaidia sana kutapeliwa na wajanja katika eneo hilo.

Hata hivyo,
serikali katika mwaka huu 2025 imetoa ufadhili wa wa 100% kwa vijana zaidi ya elfu3 waliotayari kujiunga na vyuo vya mballimbali vya VETA nchini vilivyoainishwa kwenye tangazo la ufadhili,

kwenye kilimo na ufugaji,
vijana zaidi ya elfu1 walikusanywa kambini kufundishwa kilimo na ufugaji wa kisasa, matokeo ya program hizo tunategemea kuyaona kipindi cha mavuno kwani vijana hao kwasasa wapo mashambani mwao.

October mwaka jana pia,
vijana zaidi ya laki5 walinufaika na mafunzo ya kilimo kidigitali na matokeo ya program hizo zote tunategemea kuoziona msimu wa mavuno,

mawaidha ya waziri mkuu ni muhimu sana yakachukuliwa kwa umuhimu mkubwa sana na vijana wa kiTanzania 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…